Miss Curious
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 315
- 498
- Thread starter
-
- #401
Well, NipooooNapenda kuwashukuru kwa support yenu kwani zaidi ya 90% wameonyesha kuunga mkono wazo langu na leo naanza rasmi jitihada hizi ikiwa ni pamoja na kulirasmisha ktk uongozi wa jf tupate baraka na support yao pia.
Kuna wanadai kutokufika wakihofia mionekano yao naomba niwajibu kwamba;
1/ Jf sio dangulo wala sehemu ya konyesha urembo bali ni Home Of Great thinkers so usitegemee unakuja kumuona Miss Curious utegemee atakuwa kama malaika unajidanganya but utamuona ni nwanamke flani smart kuanzia kuongea mpaka ktk maisha na I wish nihost show coz mimi ni mwanamke ninaye jiamini.
2/ Wanaohofia kutumia bodaboda, daladala na bajaji musijali hakuna mtu atakayeenda kumchunguza mwenzake na hakuna atakayekuwa anasubiria watu parking ili awasodoe .
Kuweni na amani kila kitu kitakuwa sawa na nitatoa updates kupitia uzi huu huu mpaka issue inakamilika sitegemei kuanzisha uzi mwingine kuhusu topic hii.
Sawa dada tunakuombea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hamn mdogo wangu nipo busy na jambo fulani nikilimaliza tu nitahudhuria kama kawaida usijali
Ntakuja na daladala maana hata bodaboda sinaa!!!Napenda kuwashukuru kwa support yenu kwani zaidi ya 90% wameonyesha kuunga mkono wazo langu na leo naanza rasmi jitihada hizi ikiwa ni pamoja na kulirasmisha ktk uongozi wa jf tupate baraka na support yao pia.
Kuna wanadai kutokufika wakihofia mionekano yao naomba niwajibu kwamba;
1/ Jf sio dangulo wala sehemu ya konyesha urembo bali ni Home Of Great thinkers so usitegemee unakuja kumuona Miss Curious utegemee atakuwa kama malaika unajidanganya but utamuona ni nwanamke flani smart kuanzia kuongea mpaka ktk maisha na I wish nihost show coz mimi ni mwanamke ninaye jiamini.
2/ Wanaohofia kutumia bodaboda, daladala na bajaji musijali hakuna mtu atakayeenda kumchunguza mwenzake na hakuna atakayekuwa anasubiria watu parking ili awasodoe .
Kuweni na amani kila kitu kitakuwa sawa na nitatoa updates kupitia uzi huu huu mpaka issue inakamilika sitegemei kuanzisha uzi mwingine kuhusu topic hii.
InshaallahSawa dada tunakuombea
tunapishan san siku hiziUmeharibu kutaja baadhi coz member wengine watadhani hawana umuhimu sana kwako!
Anyway na sisi wabeba box huku tutakutana wapi? teh! teh!
Karibu sana kikubwa tu kujiamini kila kitu kinawezekana.Ntakuja na daladala maana hata bodaboda sinaa!!!
kabisa yaanKaribu sana kikubwa tu kujiamini kila kitu kinawezekana.
Umeonaeeekabisa yaan
Sana tuuKaribu sana kikubwa tu kujiamini kila kitu kinawezekana.
kabisaUmeonaeee
mimi nasubiri picha mbona huweki [emoji2]Endelea kutembelea uzi huu kwa updates
Akiweka nitag mkuu mana sio kwa usmart huo mtoto wa kike.mimi nasubiri picha mbona huweki [emoji2]
hahaha poa poa mkuu ngoja tusubiri[emoji2] [emoji2] [emoji2]Akiweka nitag mkuu mana sio kwa usmart huo mtoto wa kike.
Dah! Tatizo sisi wabeba box kazi zetu sometimes ni shift ila tupo pamoja,tunapishan san siku hizi