Shika adabu yako ikushike na mshikamane wewe na adabu yako [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118]Tatizo la mahondaw huwa ananipenda sana ila sina pesa ndo maana anajibanza kwa Smart911 . Nami najiweka kwa Mama Sabrina ingawa pesa ya matumizi tunaipata kwa G wake (huwezi kuwa na wivu bila ngawira) sasa mwana CDM atanifaziri niongozane na kipenzi siku hiyo! Upo hapo la Azizi love b ?
Yes Smart911 love am here just for you.. Anything you need my king...
Shoo Ndumilakuwili huyu anang'ata na kupuliza. Wee muone kama mtu tu ni chui anaejifanya kondoo tatizo nikwamba mimi huwa sisahau kirahisi that's the problem.. Ni mwana kamati mmoja mzuri sana tena Ile kamati kuu....asione tu namjibu jibu akadhani nimesahau.Mahondaw umemsikia narumuk huku??
Smart911 brand kubwa hiyo tasavali usiilinganishe na vinuka mkjSasa nani atakukula siku hiyo! Mimi mahondaw akija na Smart911 wake namuwekea nganda katika kinywaji chake azime niondoke na kimwana. Aidha siku hiyo Mama Sabrina nakufungia chumbani kwako
Shika adabu yako ikushike na mshikamane wewe na adabu yako [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] Yes Smart911 love am here just for you.. Anything you need my king... Shoo Ndumilakuwili huyu anang'ata na kupuliza. Wee muone kama mtu tu ni chui anaejifanya kondoo tatizo nikwamba mimi huwa sisahau kirahisi that's the problem.. Ni mwana kamati mmoja mzuri sana tena Ile kamati kuu....asione tu namjibu jibu akadhani nimesahau.
Mkeo hapendi wageni wa mitandaoni[emoji23]Na wakisema wanataka kuja kwangu itakuaje?
Nakubaliana na weweUngeweka kapicha kako kwanza tuone tutakuta mtoto wa aina gani..
Ibtw kam Mzigua90 na Mama Sabrina watakuja na mimi nitakuwepo.
Hawa wote ni visuuu
Hv kuna watu wanajua ID yako humu na mnachangia?
Mwageni yote hapaHahah!! Nikikumbuka Mwifwa na ule unywaji wake wa Balimi
Kweli kabisa mahondaw wangu...
Wasione tunawajibu wakadhani tumesahau...
Anyways lakini... ni muhimu to forgive and forget, penye watu hapakosi maneno...
Kweli kabisa mahondaw wangu...
Wasione tunawajibu wakadhani tumesahau...
Anyways lakini... ni muhimu to forgive and forget, penye watu hapakosi maneno...
Ewaaah hapo tutaenda sawa. Nasubiri conclusion ni lini na wapi hiyo get together partySiwez taja wote but ngoja nikutaje then nione mchango wako
[emoji23][emoji23]Mwageni yote hapa