JamiiForums imenipatia kazi

JamiiForums imenipatia kazi

Umeshapata nawe hela na zikakutosha?huna sababu ya kuweka utapeli katika thread nzur ya mwenzako yenye kushukuru!!

Umeona eeeh jeverino huyu anachafua thread ya mwenzake amekuja kutoa ushuhuda jinsi JF ilivyomtoa stress. kama vipi si aanzishe thread yake!!!!! PERIOD
 
Last edited by a moderator:
mbona unanichanganyi.....post uliyopata ni accountant tena siku unayoripoti unakuwa mmoja wa interviwers khaaaa bila kujiandaaa mkuu? au umeandika ukiwa pale 'rest in peace' makaburini unaburudika?

Sista..wala usichanganyikiwe..company accountant ni position ambayo kwa structure ya pale ni lazima awemo kwenye panel ya interview za kampuni. Na policy ya pale only HOD ndio wanafanyisha interview mbalimbali so waliniomba niwepo
 
Back
Top Bottom