Client3, unakumbuka ile thread yangu ya ajabu ajabu ya kuacha wife? kuna member alinishauri kitu kizuri sana kwanza alinipa number ya gyno mmoja pale Mhimbilli, na hapo hapo nikampigia nikamweleza kila kitu akatupa appointment ya kumpeleka wife, lakini huwezi amini wife alikuwa hawezi kutembea wala kusimama mda mrefu, nikamtumia ticket ya ndege yule dr akaja Arusha na akamtibu akampa dawa...you can't imagine within 3 days wife akawa nafuu, no bleeding, akapata nguvu na sasa yuko home na tunajiandaa tukamwone Dr kwa ushauri zaidi.
Mungu ni mwema..kila la kheri