JamiiForums imeniokoa na Kifo

JamiiForums imeniokoa na Kifo

JF kama maji usipoyanywa utayakoga, utayafulia, utakula chakula kilichohusisha maji ktk maandalizi, au utapanda gari yenye mfumo pozo wa maji (rejeta) hongera sana mkuu M. melo. hakika uliona mbali
 
Pole sana mkuu,nami story ya Frank ilinitoa machozi,achana na hizo laki 9,Mungu wa mbinguni ana njia zake,atakulipa kwa wakati wake.
 
Ilikuaje na huyo dada baadae mlilala kitanda kimoja!!?eehn nn kilitokea
 
Back
Top Bottom