GemMaster II
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 3,467
- 10,911
- Thread starter
-
- #21
Kula vyakula vya protini kama vila maini,nyama,samaki,soseji,mayai, na usiwe unakimbia sana usizidi km 10 ishia km 3 mpaka 5 fanya mara mbili kwa week.Mimi nataka kuongeza uzito.
Bila shaka GYM itanifaa?
Umekurupuka.Sitaki kuamini kuwa wewe una mazoezi tofauti na wengine hapa duniani, isipokuwa unaonekana una:
wivu
mtu asiyependa mwingine apate mafanikio; mtu mwenye kijicho
Tafiti zinasema kuna uhusiano mkubwa kati ya nyash na hips yaani:Huyo anakuza nyash tuu hana lolote..
Soda ni hatari sana kwa afya zetu ni vile madhara yake huchelewa sana kuonekana.Umesema hujanywa soda miaka 7 nimetamani ka pepsi kabaridiii..
Nahitaji maombi...
Anza na zoeti la squart 100 kwa siku .....no pain no gain.Nahitaji zoezi la kujaza hips...😊😊
Anza kukumbia kila siku km 4 week tu utakuwa ushakata mafuta ya kutosha na kupunguza kilo sio chini ya 5.Nataka nianze kupunguza Kilo Kwa Sasa Nina 75
Wakati Mwaka Jana nilikuwa ma 64/65.
Nahisi Mwili umekuwa mzito mambo mengi yamebadilika
Anza kukumbia kila siku km 4 week tu utakuwa ushakata mafuta ya kutosha na kupunguza kilo sio chini ya 5.
Mazoezi hayachagui aina gani ya mwili muhimu ni kuwa physical fitness...ila inategemea wewe unataka mwili wa aina gani kama unataka kuwa na mwili mkubwa kama 50 cent lazima ule vizuri na uingie sana gym.Sisi wengine tunataka tupate mwili kidogo ndo tuanze mazoezi
Una urefu wa cm ngapi?Nataka Kabla ya Christmas niwe kwèñye uzito wa Kawaida àmbao ni 63-65 Kwa Umri na kimo changu
Nunua ujipongeze kwa matokeo ya jana.Umesema hujanywa soda miaka 7 nimetamani ka pepsi kabaridiii..
Nahitaji maombi...
Jitahid uwe na ratiba fixed master ....mazoezi hayataki upate muda inabid yawe maisha yako.Leo nina muda, ngoja nichukue viatu vyangu nikacheze mpira, mazoezi pekee napenda ni kucheza mpira, changamoto magoti yangu yamekuwa mabovu, haswa la kushoto ni tabu mnoo.
Sema wewe hawa ndio wakimuona mtu wa gym mwili umekaa vizuri utasikia ukiingia gym week tu unakuwa kama vile...akiingia week anaona maumivu anakosa uvumilivu lazima akimbie na kuanza majungu.Watu wenye vitambi mna nongwa sana
Hahaha me huyo nimekupa mgongo.Tuambie kwanza katika hizo picha wewe ni yupi. Tukuamini.🤔