hongereni!...
natumai siku moja mtafika kwenye app ya Nokia 3310 ili na sisi wa nkasi tule bata!..
heheheheh!...invisible shkaaaaaoooooo!...
Hahahaha ipo tayari
Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
Follow this link - https://play.google.com/store/apps/details?id=com.quoord.jamiiforums.activitySi wa Xperia mtufanyie mpango
Ngoja nijaribu kukong'ori
Mkuu nime install lakini siioni kwenye kioo
Hello,
JamiiForums has launched a new app for the iPad and iPhone/iPod Touch that lets you access JF via these devices.
The FREE app, which you can find in the AppStore if you search for JamiiForums, is Compatible with iPhone, iPod touch and iPad. It Requires iOS 4.0 or later.
Click here to find the JF iPad app in the App Store, If you want the iPhone version of JamiiForums, click here.
Were giving you this app for FREE and hope you enjoy it. If you have any feedback, wed be grateful for it at apps@jamiiforums.com
Ndio Mzee.Nimeeleweka?
Hivi we jamaa kwanini huwa unang'ang'ania kujieleza kwa lugha ambayo inakushinda mwanzo mwisho. Yaani umeshindwa kuandika ''JF releases Ipad and Iphone touch apps for its members,'' badala yake unajikanyaga hadi unaandika vitu visivyosomeka. Ukiulizwa hiyo verb phrase yako ''is now released'' iko kwenye kundi gani la tenses utajibu nini? Halafu hiyo habari yenyewe ndiyo inaweza ikamfanya mtu akaugua kabisa akimaliza kukisoma hicho kiingereza mvurugano.Last edited by Radhia Sweety; Today at 06:09.
Radhia Sweety mimi sijakuelewa labda nibandikie masasahisho yake yanglikuwaje maana nikisoma sioni kama kuna walakani,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kukosoa ni rahisi lakini kurekebisha ndipo ukweli ulipo/