JamiiForums' FREE iPad & iPhone/iPod Touch app is now released

Status
Not open for further replies.
hii app inansumbua kwenye iPhone yangu, kama nikia access via Wifi inakubali. lakini nikifungua bila wifi yaani kwa kutumia edge au 3g inafunguka afu ina ji EXIT yenyewe
 
Hello,

JamiiForums has launched a new app for the iPad and iPhone/iPod Touch that lets you access JF via these devices.

The FREE app, which you can find in the AppStore if you search for “JamiiForums”, is Compatible with iPhone, iPod touch and iPad. It Requires iOS 4.0 or later.

Click here to find the JF iPad app in the App Store, If you want the iPhone version of JamiiForums, click here.

We’re giving you this app for FREE and hope you enjoy it. If you have any feedback, we’d be grateful for it at apps@jamiiforums.com
Mkuu nami nimenunua ka SAMSUNG GALAXY TAB. nisaidie niweze kudownload JF
 
Hello,

JamiiForums has launched a new app for the iPad and iPhone/iPod Touch that lets you access JF via these devices.

The FREE app, which you can find in the AppStore if you search for “JamiiForums”, is Compatible with iPhone, iPod touch and iPad. It Requires iOS 4.0 or later.

Click here to find the JF iPad app in the App Store, If you want the iPhone version of JamiiForums, click here.

We’re giving you this app for FREE and hope you enjoy it. If you have any feedback, we’d be grateful for it at apps@jamiiforums.com

Apps nimeipenda, ni nyepesi kutumika hata Kama mtandao unasumbua yenyewe haina shida inapiga mzigo, namaanisha hata Kama Internet speed ni ndogo yenyewe haisumbui.
 
Big up jamiiforums team for getting us these useful apps, now I can conveniently access the forums through my iphone and blackberry
 
Mtambuzi unamchokoza Invisible

Mimi nimeshaanza kuifurahia hii application maana tulikuwa tunaisubiri kwa hamu

Na kwa haraka haraka iko mmmmmwaa yaani kama unamsukuma mlevi ilivokuwa rahisi na user friendly. Sema kitufe cha like bado.
Like ipo kaka,angalia vizuri
 
Last edited by a moderator:
Like ipo ukihold pale unapotaka u like, touch continously utaona options, gusa kwenye more... Utaona like na options zingine
 
Haifunguki kwenye sim yangu, inaonesha login screen tu, alafu ina ondoka, iOS 6
 
Wanajamii,naomba mniambie kati ya Operating Systems za Simu zifuatazo ni ipi Bomba kwa matumizi ya kisasa ya Mawasiliano simu?
.MICROSOFT phone8
.IoS 6
.Android Jelly Bean 4.1
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom