Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 814
- 1,646
SAWA
relax and chuki zako binafsi gentleman 🐒Binafsi Maxence Melo kanikwaza kumpa heshima Tlaatlaah kwenye ile post yake pale juu wakati chama Chao hakiipendi jamiiforums.
Gentleman,Yote haya kisa kuzomewa
NaamLeo Julai 12, 2026 kulitokea changamoto kwenye miundombinu ya JamiiForums (hardware malfunction) na hivyo kupelekea kutopatikana kwa huduma kwa takribani saa 3.
Hata hivyo, kasoro hiyo iliyoripotiwa na wadau ilifanyiwa kazi wataalamu wa JF na huduma kurejea kama kawaida.
View attachment 3627754
View attachment 3627763
Watupe ofa kukava usumbufu uliojitokeza!