JamiiForums downtime - July 12, 2026

JamiiForums downtime - July 12, 2026

Nawapongeza kwa usharp wa kiufundi wa idara husika ya technology na taarifa ya mapema sana kwa wateja, juu ya dharura ya kiufundi iliyojitokeza. Hii imesaidia pakubwa kuwaondoa hofu wadau wote wa JF.

Hongera kitengo cha huduma kwa wateja, hongera sana mafundi mitambo na JF management kwa ujumla kwa kujali wateja wenu na kufanya kazi kisasa zaidi.šŸ’

God bless JF,
Mungu Ibariki Tanzania
Tunashukuru pia mkuu wangu.

Aidha, nawashukuru wale waliotutafuta hadi kwa simu kutufahamisha kuna changamoto ya upatikanaji wa jukwaa.

Changamoto ilikuwa kwenye miundombinu tokana na masuala ya umeme kuleta mushkeli kwenye hardware. Hata hivyo, team ilifanyia kazi haraka na kuhakikisha huduma zinarejea.

Tunawashukuru kwa uvumilivu na ushirikiano wenu
 
Who knows? May be, Yes.

Wenye nia ovu bado wapo online hawapendi kuona mipango yao ovu ikianikwa hadharani.
Stop imagining things.
Jf ya sasa haina nyuzi zinazohatarisha maslahi ya mafisadi.
 
Tunashukuru pia mkuu wangu.

Aidha, nawashukuru wale waliotutafuta hadi kwa simu kutufahamisha kuna changamoto ya upatikanaji wa jukwaa.

Changamoto ilikuwa kwenye miundombinu tokana na masuala ya umeme kuleta mushkeli kwenye hardware. Hata hivyo, team ilifanyia kazi haraka na kuhakikisha huduma zinarejea.

Tunawashukuru kwa uvumilivu na ushirikiano wenu
well done the Boss and your JF hardworking team šŸ‘Š
 
Tunashukuru pia mkuu wangu.

Aidha, nawashukuru wale waliotutafuta hadi kwa simu kutufahamisha kuna changamoto ya upatikanaji wa jukwaa.

Changamoto ilikuwa kwenye miundombinu tokana na masuala ya umeme kuleta mushkeli kwenye hardware. Hata hivyo, team ilifanyia kazi haraka na kuhakikisha huduma zinarejea.

Tunawashukuru kwa uvumilivu na ushirikiano wenu
Mkuu Maxence Melo uliliona ombi langu ?
Asante sana kwa kunirudia na kunipa mrejesho. Ubarikiwe sana na Mungu azidi kukuinua juu sana katikati ya dhoruba hizi zinazoendelea
 
Mda huo sikuwa na bando, nimekuta mambo yapo shwari tu
 
Leo Julai 12, 2026 kulitokea changamoto kwenye miundombinu ya JamiiForums (hardware malfunction) na hivyo kupelekea kutopatikana kwa huduma kwa takribani saa 3.

Hata hivyo, kasoro hiyo iliyoripotiwa na wadau ilifanyiwa kazi wataalamu wa JF na huduma kurejea kama kawaida.

View attachment 3627754
View attachment 3627763
Asantee mkuuā˜ŗļø
Mambo yapo sawa na tunaendelea kuvinjari
 
Watu wa JF mnadeka sana aisee, bado mtu wa kutokea aseme amekosa mchongo wa 50M kutokana na JF kutokuwepo hewani
 
Back
Top Bottom