Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,348
- 37,158
AtujibuKeupe ka nini bwashee
AtujibuKeupe ka nini bwashee
Hahahaha ulizigida kinouma sio🤣Nilipokua naubariki mshahara jana zilikua na kutosha. Bei elekezi.
Huyu si pasta kabisa😆Atujibu
Kuonana na kula pombe na nyama na stories za hapa na pale huku tukiperuzi jf polepoleWeekend,
Moja tutafutanee haaahaa 😆 Kuna jamaa yupo humu jamvini mme wai onana physical pia Mimi nimewai onana nae moja ya watu wachache nimewai onana nao hapa Jf
Akanambia amewai onana nawewe na mmewai kuwa mnatembeleana
Itakua ivyo mkuu.Naona Lite ndio zimejazana maybe kutengeneza Lager expensive
Ngoja tuoneeHuyu si pasta kabisa😆
Bora unywe tu hiyo bwashee , ukila vikali wewe utapagawa kabisa😁Mirinda orange hapa
Itakua ivyo labdaLabda wanywaji wake ni wachache mkuu🤔
Kweli mkuu ni Jambo jema Sana sanaaKuonana na kula pombe na nyama na stories za hapa na pale huku tukiperuzi jf polepole
Unajaza Inzi tuMirinda orange hapa
Majuto leo asubuhi aiseeHahahaha ulizigida kinouma sio🤣
Hahahaa au ulisambaza upendo nini?Majuto leo asubuhi aisee
Hahaha 50 kwa local bia mbona nyingi sna mkuuNilienda na 50, nikajikuta nimetoa kwa NMB wakala
Chakula kila mtu anatumia , hata maji haunywi?Mi chakula Tu basi
Basi tuseme double kick mkuu hapo je...Unajaza Inzi tu
Anza mdogo mdogo na Lite beersBasi tuseme double kick mkuu hapo je...
Ili nijikojolee et
Chakula utakula homeMi chakula Tu basi