min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,522
- 128,086
Yeah huu uzi nimesikitika sna kukosa wachangiaji kwa kitambo kirefuKumbe JF ina restaurant na hamsemi.
Yeah huu uzi nimesikitika sna kukosa wachangiaji kwa kitambo kirefuKumbe JF ina restaurant na hamsemi.
Mwendo wa konyagi ndogo moja mix with tonic water
Ngoja tukeshe humu leoooYeah huu uzi nimesikitika sna kukosa wachangiaji kwa kitambo kirefu
Hivi konyagi inapanda vizuri?Mwendo wa konyagi ndogo moja mix with tonic water
Mimi pombe kali nagonga vodka tuNgoja tukeshe humu leooo
waliuchimbia sana nimeufukua huko chief!Yeah huu uzi nimesikitika sna kukosa wachangiaji kwa kitambo kirefu
Safi Sanaa mkuu japo Jana nimepiga safari Lager baridii mbili ZILE kubwa kubwaaHivi konyagi inapanda vizuri?
Safi sana bwasheewaliuchimbia sana nimeufukua huko chief!
Safari bia za kitambo sanaSafi Sanaa mkuu japo Jana nimepiga safari Lager baridii mbili ZILE kubwa kubwaa
Siku izi Mbona castle lager zimeadimika sanaaSafari bia za kitambo sana
Sana aiseeSafari bia za kitambo sana
Labda wanywaji wake ni wachache mkuu🤔Siku izi Mbona castle lager zimeadimika sanaa
Naona Lite ndio zimejazana maybe kutengeneza Lager expensiveSiku izi Mbona castle lager zimeadimika sanaa
Hahha karibu na kwenye vodka
Castle light zipo?Naona Lite ndio zimejazana maybe kutengeneza Lager expensive
Keupe ka nini bwasheeMimi ni mzee wa kuchanganya keupe na maji
Weekend,Mimi ni mzee wa kuchanganya keupe na maji
Nilipokua naubariki mshahara jana zilikua na kutosha. Bei elekezi.Castle light zipo?