New Designer
JF-Expert Member
- Aug 8, 2025
- 390
- 633
JamiiAI imeonesha kiwango cha juu cha usahihi, kasi, na uthabiti wa kimfumo katika utambuzi wa picha na uchambuzi wa historia ya taarifa, kama inavyothibitishwa na vielelezo (screenshots) vya mafanikio yake ya kiutendaji. Mfumo huu umefanikiwa kuchanganua taswira kwa undani mkubwa, kubaini vipengele muhimu, kutambua maandishi, maumbo, na muktadha wa picha kwa ufanisi wa hali ya juu.
Picha iliyo chambuliwa ya kwanza
Uchambuzi wa JamiiAi chini
Picha ya pili iliyochambuliwa
Uchambuzi wa picha
Uchambuzi
Teknolojia hii ni muhimu sana na ya kisasa.
JamiiAi sasa sio tu chanzo cha kutoa taarifa bali ni darasa ambalo vijana kwa wazee, watoto kwa wanawake wanaweza kuitumia kujifunza vitu mbalimbali vinavyo wahusu hasa historia ya Taifa letu pendwa la Tanzania.
Sio hivyo tu JamiiAi inaweza kufundisha masomo mbalimbali ya level zote sayansi, teknolojia, uchumi, siasa, sheria n.k
Uwezo huu unaifanya JamiiAi kuwa ya kwanza na ya kipekee kuwahi kutokea Tanzania na afrika mashariki ikiwa na uwezo wa juu wa kuchambua hadi picha 1,500 kwa siku moja, bila kuchoka kwa mtu mmoja. mbali na hapo JamiiAi inauwezo wa kuchambua video na mafile ya vitabu vikubwa kwa haraka na ufanisi bila kukosea kwa lugha yoyote duniani kulingana na mahitaji ya mtu.