Jamii yetu inakoelekea

Jamii yetu inakoelekea

Tena huyo anauza mbele na nyuma kutamani miaka 40 hiyo sio k sio mk*** vyote vitabaki mapango na thamani yake itakua imeshuka sana
 
Siku zimekaribia jamaaani. Tusisingizie hali ngumu. Kwani Lini maisha yalikuwa mazuri binadamu akaridhika na hali iliyopo???
Hiki ni kipindi kigumu kweli na naamini Shetani atapata mavuno Mengi.
Tuzidi kumwomba Mungu wetu na kufunga ili atufanyie wepesi, maana usipomkimbilia Mungu utamkimbilia Shetani; kwa kuwa akili zetu haziwezi kutufikisha tunapopahitaji.
 
Inahitajika kikao haraka sana hapa JF na hasa kijadili nyanja zote kimaisha kwa uhuru bila kuweka mipaka , , , kwani Taifa limekosa dira hususan vijana wa kike na kiume , , , Wadada wanasema hakuna waoaji na maisha ni magumu Vijana wakiume wanasema Wadada wasikuhizi hawaoeki kwani niwabishi ndani ya nyumba .Huku mila na desturi zetu zikiachia kamba na kudondoka .plz Nawapa kazi hii wafuatao watuandalie mjadala.

@misschaga
@missnatafuta
Shunie

john issa
chavala
chaki

Nawale wakongwe wa JF watakuwa wana tupia na kujibu maswali.
 
Mkuu ninadhani tatizo kubwa ni kuthamini pesa kuliko ubinadamu wetu na dunia ya utandawzi imetufungua macho sana.
 
Nimekutana na hii familia Ina binti ambae amehitimu chuo na shahada ya sheria lakini ameamua kutofanya kazi ya kuajiriwa, binti huyu amefanya kuwa kahaba na familia yake wanampa kila support.

Niliyeongea nae ni aunty wa binti ambae amenieleza haya. Aunty mwenyewe ni msomi mwenye shahada ya uzamili, ananiambia ni Kheri wampe muongozo kuliko afanye mambo haya kwa siri mwisho majanga yamfike.

Wakati wa World Cup in South Africa familia ilimpa pesa ya kukodi apartment mapema kwani machangu wengi walikimbilia huko na wale waliokuwa na apartments in prime areas waliweza kupata wanaume wenye pesa ndefu.

Kwakweli nilimshauri shost yangu huyu teemed kwenye maombi lakini alicheka sana na kuniona wa juzi sana.

Huku ndiyo jamii inakoelekea kwa sasa.
Naomba namba zake za simu nimshauri kitu, inaniuma sana huu mwelekeo wake siyo mzuri..
 
Kwahiyo tuseme vijana tumemezwa na utandawazi pasina kujinasua!?
Tunashindwa kupambanua faida au matumizi chanya na hasi ya utandawazi na tumevikaribisha kwenye jamii yetu bila kuangalia marafiki yetu yanakinzana vipi
 
Je! Unadhani ni wakati muafaka wa kuielimisha jamii juu ya utandawazi!?? Na nank hasa mwenye jukumu la kuanza!?
 
Je! Unadhani ni wakati muafaka wa kuielimisha jamii juu ya utandawazi!?? Na nank hasa mwenye jukumu la kuanza!?
Wenye jukumu la kwanza ni wazazi, hatuwezi kuzuia mafuriko kwa mkono lakini tunaweza luxuriate chanzo cha mafuriko
 
Back
Top Bottom