Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisoma Arusha sec. 1981-1984;
Enzi za Mzee Lyatuu - Head Master; Mama Shuma - 2nd Mistress; Mrs Reading - Biology; Mrs Kinabo; n.k
Mama Shuma nilimkuta pale pamoja na mama Kinabo, ila huyu mama Kinabo aliondoka sijui alikwenda wapi. Kuna kitu hamjakiongelea hapa, MAPISI(saa nne hapa ilikuwa ni balaa kwenye huo msitari), vipi mliyaacha nyie wa zamani ama? Mimi niliyakuta ila waliondoa nikiwa form 3 kama sijakosea.
mama Kinabo alikwenda kuwa head mistress St Constantine......yale mapisi walikuja kutuondolea baada ya ufisadi wa nchi hii ulipoanza....ilikuwa burudani kweli......hivi unapakumbuka parkline?[/QUOTE
Parkline napajua sana hapo, ila sijui kama bado panafanya kazi, nilikuwa nakaa mitaa ya karibu sana hapo, nimekula mihogo hapo juu kidogo na Uhuru primary, hii ni baada ya mapisi kutoka. Hivi Amigo hipo ama pameshauzwa?
Dah basi sisi tumekuja kipindi hamna cha mapisi wala chakula chochote hapo skuli. I can say Arusha sec was one of the best school in TZ.Kwa sasa shule imekuwa gofu na taaluma imedorora sana. At least A level wanajitahidi.
Mimi nadhani kuna haja ya kuiga kama seminaries wanavyofanya, pass mark za term ni muhimu sana, hii itawafanya wanafunzi kuwa makini, jirushe kwa sana au ulale kwa sana BUT once akishindwa kutimiza pass mark either unarudia darasa ama go back home.
Ni mawazo yangu tu nawakilisha.
mama Kinabo alikwenda kuwa head mistress St Constantine......yale mapisi walikuja kutuondolea baada ya ufisadi wa nchi hii ulipoanza....ilikuwa burudani kweli......hivi unapakumbuka parkline?[/QUOTE
Parkline napajua sana hapo, ila sijui kama bado panafanya kazi, nilikuwa nakaa mitaa ya karibu sana hapo, nimekula mihogo hapo juu kidogo na Uhuru primary, hii ni baada ya mapisi kutoka. Hivi Amigo hipo ama pameshauzwa?
pale amigo sijui kama bado kupo, palikuwa noma sana pale
Hi! skuli mates mbona mmemsahau TINGINYA na teacher mbaga!!
Tinginya alipata shida sana pale somo la siasa lilipobadilika na kuwa Civics, alikuwa hajui kidhungu , so kazi yake ikawa kuandika notes na kuchezesha basketball.
Huyu Mbaga wakati tupo form 2, alikuwa na kiofisi chake kule karibu na DS, kazi yake kujifungia ofisini na Mwl Maresi.
Mwanza one, unamfahamu Ngwenya? alikuwa mwanafunzi?

hii kali,yaani hiyo miaka si kwamba mimi sikuwa nimezaliwa ila hata kufikiriwa kuzaliwa ilikuwa bado. Nilihitimu Arusha sec. 2002,don king ndio alikuwa anastaafu,namkumbuka sana mwl ikonje,sademaki,gidasaida,mama mollel,shuma mdogo,ngilisho,nyaruga,bashiri,masao,mzee wa upako. Tulihitimu na masweta mekundu na washkaji vichwa sana kina Geofrey Kiduma(nbc) charles massawe(engeneer),sigfrid phabian(bcom) dr. israel kasago,dr.raphael mwita,armani Gerald yupo uk,na wengine wengi wameshahitimu vyuo vikuu toka 2008.