Mwl shoo Hisabati, alikuwa anchapa sana huyu, Mama Lohay kiswahili na Kigingi bilogy upande wa Chemisty alikuwapo Mr Juma
Kuna Kinyau wa Biology, huyu alikuwa mrembo huyu.....dah...... Mama Shuma, Mr Moshi huyu bado huwa namuonaona pale, kuna yule Mzava alikuwa wa bookkeeping, badala ya kufundisha anaenda kufanya kazi UTC kama mhasibu. Huyu Mr Juma alikuwa na mkwara sana huyu, Mr Molel wa nini sijui yule bila kumsahau Lulabuka mzee wa arts....he he umenikumbusha long time mbaya kabisa
Mr Juma ni marehemu. Mama Shuma kastaafu. Kinyau siku hizi ni matroni wa Hostel na kapewa cheo cha second mistress. Lulabuka mzee wa maombi na mikwara....
"Rambo" mlimuacha nyie?
Kisanji wa kiswahili simpati, mie nilifundishwa na Mama Mgalula na Mzirai. Huyo wa kiswahili anaerumbua anataka kufanana na Mr. Bashiri wa Physics.
Shule imechange saana kwa sasa tofuti na miaka ile.
No...Kisanji nadhani alikuwa wa English....huyo wa kiswahili alikuwa mdada.......duh...hii thread imenikumbusha mambo sana....Njiro mbona kaingia mitini tena?
Mambo skulmate? Kumbe tuko wengi? Unamkumbuka Gidasaida wa physics?No...Kisanji nadhani alikuwa wa English....huyo wa kiswahili alikuwa mdada.......duh...hii thread imenikumbusha mambo sana....Njiro mbona kaingia mitini tena?
Mi Rambo nilimuacha, amechukua soksi zangu nyingi sana! Maskin kumbe Mr. Juma alikufwaga?! RIP Mr. Juma.Mr Juma ni marehemu. Mama Shuma kastaafu. Kinyau siku hizi ni matroni wa Hostel na kapewa cheo cha second mistress. Lulabuka mzee wa maombi na mikwara....
"Rambo" mlimuacha nyie?
Don king si ndo Mr. Shayo? Yuko mpk leo? Nilisikia amehamishwa!Njiro naona kaenda Njiro kupumzika :biggrin1:
Mie nilikuwa napenda afternoon session sana. Don King mlimuacha? i admired the guy.
Mambo skulmate? Kumbe tuko wengi? Unamkumbuka Gidasaida wa physics?
Teachers in Arusha Secondary School then included Mr. Streets [an Afro American Peace Corp] Mr. McNickle; Mr. Harding; Mr. Pathan; Mr. Bhogal; Mr. & Mrs. Ahmed. The first African Headmaster was Mr. Mabele followed by Mr. Kabati and then Mrs. Materu came in from 1966 until the early 1970s. Other African teachers included Mr. Kilimba; Mr. Magembe etc.
Nafurah kuona skulmates tuko wengi sana. Aisee huyu mbaba nlikuwa namwogopa balaa, kwenye kipindi chake nilikuwa hata sikohoi, kalamu ikidondoka siokoti mpaka kipindi kiishe!..lol.dah...kumbe wewe skulmate bana.....huyu Gida alikuwa akikuchapa kujiokoa kwako ukimbie....ticha alikuwa noma kweli huyu
Mi Rambo nilimuacha, amechukua soksi zangu nyingi sana! Maskin kumbe Mr. Juma alikufwaga?! RIP Mr. Juma.
Preta!! Itabidi tutaftane zaidi manake mi pia hmaster niliyemuacha alikuwa Mr. Shayo. Isijekuwa wewe ni clasmate pia.nyie mlisoma muda kidogo......hiyo miaka wengine mama zetu walikuwa hawajajua kama watatupata, mimi headmaster niliyemuacha ni Shayo ambae alimpokea Mauki kama sikosei
Hahahahaha! Umenkumbusha mbali wewe! DS nilipita bana! Namkumbuka sana tu.ha ha....wewe lazima ulipitia DS....unamkumbuka Mrs Johnson