Jamii Media yafungua Kesi ya Kikatiba kupinga Vifungu vya Sheria ya Makosa ya Mtandao

Serikali inaendeshwa kwa maigizo sasa wanataka taarifa zetu za nini?
 
hii ni civil petition against govt. ag lazima awe joined. la sivyo kutakuwa na amendment of plaint ya kumwongeza ag. "any petition against govt or its agency, ag shall be joined as one of the respondent",
Mwanasheria mkuu amejumuishwa
 
Hapo sijaelewa kitu wakuu Naomba ufafanuzi, TCRA au polisi au mamlaka nyingine haziwezi kuchukua info zozote JF Bila ridhaa ya wahusika JF?

Maana mwanzoni zilikuwepo taarifa kwamba mtu yeyoye akipost jambo ambalo polisi wataona linavunja sheria ya Cybercrime wana uwezo wa kumpata mtu huyo kupitia simu yake au computer.

Kumbe hawawezi kufanya hiyo action direct Bila Kupata kibali kutoka uongozi wa JF?
 
Hapo sijaelewa kitu wakuu Naomba ufafanuzi, TCRA au polisi au mamlaka nyingine haziwezi kuchukua info zozote jf Bila riadha ya wahusika jf? Maana mwanzoni zilikuwepo taarifa kwamba mtu yeyoye akipost jambo ambalo polisi wataona linavunja sheria ya cybe crime wanauwezo wa kumpata mtu huyo kupitia simu yake au computer. Je kumbe hawawezi kufanya hiyo action direct Bila Kupata kibali kutoka uongozi wa jf?
na mimi nasubiria jibu hilo
 
Kesi hiyo ngumu, ngedere kala mahindi hakimu nyani. Utauficha moto lakini moshi utaonekana.
 
Duu, nchi hii tunarudishwa utumwani muda si mrefu. Watabaki watu wa chama fulani tu nchi hii.
 
Yale Yale Ya Uganda, Sasa Tusubirie Kuyashuhudia Tanzania!!!

Kila La Kheri Uongozi Wa JF, Kwa Hatua Hiyo!!!
 
Kuna dalili za kufanya amendments
Na kuongeza restrictions.

Ila washachelewa, vijana wanaakili nyingi, JF ilikuwa ni kama dopamine kwao kwa hizi stress za authorities
 
na mimi nasubiria jibu hilo
Huwezi kumtambuwa mtumiaji bila kupata IP namba yake, wenye uwezo huo ni JF wenyewe, tatizo la hawa jamaa zetu ni kutumia mabavu bila akili, ingekuwa ni agency kama CIA ndio inatafuta info fulani JF basi ile kauli mbiu ya kila mtu ana bei yake ingetumika kupata hizo info lakini hapa kwetu bado kuna wanaoamini maguvu yana nafasi dunia ya leo.

Hivi mlishawahi kujiuliza ni kwa nini CIA wanajuwa kila kitu Duniani? hawatumii nguvu kupata wanachohitaji bali uchawi wa kizungu.
 
Back
Top Bottom