Jamii imempora mwanamke nafasi yake

Ni sawa kabisa mkuu, mimi nawaona kama wenye kutumia udhaifu wa fikra za wanawake ili kuwateka na kujipatia faida. Lakini Neno la Mungu litasimama na kweli yake itajidhihirisha
 
Such a bloody third wave feminist.

Kwa jinsi ulivyoandika hili bandiko lako unaonekana kabisa wewe ni miongoni mwa Supremacy fighters!

Na nnamini kabisa wewe utakuwa hauna ndoa wala mahusiano yenye afya. Sababu you are too competitive unnecessarily.

Hata huo uhuru wako wa kiuchumi unautafuta kwa ajili ya kushindana na mwanaume, hili ufanye vitu vilivyozoeleka kufanywa na wanaume na upewe heshima anayopewa mwanaume na sio vinginevyo.

Na uthibitisho wa wewe kutaka kukaa kwenye nafasi ya mwanaume ni hapo unaposema "ukiwa na nyenzo za uhuru unaweza ukawachezea wanaume utajavyo na maisha yako yote unaamini mwanaume amekuwa juu ya mwanamke kwa sababu ya umiliki wa mali/pesa wa si vinginevyo...unamchekesha.

Halafu shida yenu nyie 3rd wave feminists wala sio haki sawa, bali nyie mnataka kuwa dominant(mfumo jike) na ndio maana mmejaa uanaume mwingi na imagination kibao.

Pia nikukumbushe Mungu kutuumba wote tukiwa na ufahamu sawa, haimaanishi kwamba tutakuwa sawa kwenye kila kitu, ufahamu tu peke yake hautoshi kumfanya mwanamke aweze kukaa kwenye nafasi ya mwanaume kama ambavyo fikra zako zinakwambia.

-Mungu alitupa ujasiri kuliko nyie
-Mungu alitupa uvumilivu kuliko nyie
-Mungu alitupa uwezo wa ku contol ubinafsi tofauti na nyie
-Mungu alitupa urahisi wa kuzi control hisia zetu na kuzeweka mbali pale tunapofanya maamuzi tofauti na nyie
-Mungu alitupa uimara wa kimwili kuliko nyie.

Hizo ni baadhi tu ya tofauti za mwanaume na mwanamke ambazo ni sababu kwanini mwanamke halingani/hayuko sawa na mwanaume.

Na pia kaa ukifahamu tu pamoja na huo uhuru wako wa kiuchumi lakini bado mwanaume ataendelea kuwa ndio mwenye privilege na wewe utaishi kwa kumtegemea sana maisha yako yote.
 
Andiko fupi lakini lenye ujumbe mzito kwa jamii. Mwenyezi Mungu akutie nguvu daima.
 
article yangu ipi? sijaandik article mimi, nime comment. Msingi wa kinachoongelewa nimekielewa, anasema mwanamke arudi kwenye majukumu yake ya ki traditional kama kupika na kulea watoto, na mwanaume ndio awe mtafuta kipato
Yap, nimesema hayo. Na kwakuongezea tu, elimu yamwanamke ilenge kumboresha kwenye kutekeleza majukumu yake ambayo umekiri ni ya kitraditional. Hakuna kilicho juu ya malezi ya watoto, kutokutekeleza hilo ni dhambi kubwa.
 
Ngojani nikuoe ukweli wako, si kila mwanamke amefanywa kwa ajili ya kuwa MKE. Wengine kutokana na makuzi yao moja kwa moja wanafit kuwa vyombo vya starehe kwa jamii pana. Tunachoongelea hapa ni wanawake walioandaliwa kuwa wake wa ndoa, hawa imewapasa kuangalia mizania kati ya elimu na ndoa na wachunge mwenendo wao.

Kwa mtazamo wako sidhani kama article hii inakuhusu sana kwani hauenei kwenye misingi yake, wako waliosoma na wamepata mambo mema japo mawili ama matatu, hawa wamehusika moja kwa moja. Sasa waliofanyiwa mind programming sitegemei waichukulie article hii kama changamoto kwao.

Wenye Roho wa Mungu bado wataiona na kujitathmini, watachukua lililo jema nao watatoa michango ya kujenga. Bali wale waliotekwa na fikra potofu za kimagharibi watatumia hoja fhaifu kupinga kila kitu, ndio ukweli wenyewe
 
Naona maneno mengi ila point kidogo
Wazazi wangu walinilea vizuri hilo ni kweli, walinipa elimu,wakanifundisha nidhamu na kujitegemea, na vimenisaidia sana, sbabu maisha yangu yapo secured. Nami wanangu nitawalea hivyo hivyo
Hao wanawake wanaochukuliwa na upepo sijui wa kisulisuli ndio hao waliolelewa kuwa wakikuwa kazi yao ni kuolewa na kuzaa na kutunza mume, sasa imetokea hawajaolewa, ndio maana wapo vile

Suala la mtu kuendekeza starehe na kuharibikiwa halina uhusiano na jinsia, maana wapo wanaume wengi waliofanya starehe wakaishia kutumia madawa ya kulevya, wengine wapo gerezani, wengine hata wamejiua kwa msongo wa mawazo, wengine wamefia baharini ama porini wakitaka kuzamia nchi za watu. So ni akina nani ambao hawaishi kwa busara ambao starehe inawapelekesha zaidi na kuwagaharimu maisha yao?
 
Shawtyyy 😘😘😘ur a 💯💯💯
 
Mkuu umenena kweli tupu, tatizo tumeikataa devine order. Dhambi ya uasi ilianzia Edeni ambapo mwanamke alisikiliza sauti ya nyoka na kumwasi Mungu, mwanamume naye akasikiliza sauti ya mwanamke na kumwasi Mungu. Leo hii mwanamke ameasi maagizo ya Mungu kwa kuisikiliza sauti ya nyoka, tena anamfanya mwanamume naye aasi kwa kuisikiliza sauti yake. Ni yale yale, dhambi ya uasi inaendelea na hii ndio sababu Paulo alisema wanawake wasiwe juu ya mwanamume.

Asante kwa bandiko lako murua
 
Yap, nimesema hayo. Na kwakuongezea tu, elimu yamwanamke ilenge kumboresha kwenye kutekeleza majukumu yake ambayo umekiri ni ya kitraditional. Hakuna kilicho juu ya malezi ya watoto, kutokutekeleza hilo ni dhambi kubwa.
Watoto wanalelewa na wazazi wote, mimi nimelewa na wazazi wote sawa tu, baba na mama wote wametumia muda mwingi na mimi. Malezi hakuachiwa mama tu, Wanangu hivyo hivyo, wapo na mama yao na baba yao kwa muda mwingi pia. Ni suala la kujipanga tu.
Mimi naamini familia itakuwa bora zaidi endapo wazazi wakitumia muda mwingi pamoja na pia wakiwa pamoja na watoto wao.
 
Ok, walee hivyo wanao, kwako nimemaliza
 
😂😂😂😂ivi kweli mimi nitake kuwa sawa na mwanaume nianze kufanya kazi ngumu kama za ukuli labda bandarini, nianze kubeba gunia la mahindi begani wakati nimepewa mbavu 01 tuu kati ya mbavu 12
Wacha niendelee na majukumu yangu ya kuzaa kwa uchungu, kupamba nyumba na kupika🤗🤗🤗
 
Si kweli, hiyo ni maneno ya mdomoni. Tunaposema mama awalee watoto haimaanishi baba si mlezi, tunaongelea mgawanyo wa majukumu na primary responsibility. Baba awapo na watoto hushughulika na masuala mazito wakati muda mwingi watoto huutumia na mama yao. Au hujui kuwa mtoto akitaka jambo kwa baba hupitia kwa mama? Unajua sababu ni ipi? Kama wote mtakuwa nje ya nyumba na mkarudi pamoja huku mna watoto ni saa ngapi mnawalea? Ni suala la kujipanga vipi? Unajua sababu ya mitaa kujaa mapanya road na wavut bangi leo hii? Unajua sababu y watoto kukosa maadili? Usiongee nadharia kuvuti hoja kwako, ongea uhalisia
 
Wanaume wote wanabeba mizigo kwani?.

Hamna softer works that u can also do uingize kipato?
 
Na kama kweli wazazi wako wamekufundishwa kujitegemea, basi uko sahihi kwa mabandiko yako. Maada hii haina mashiko kwako kwwni ni kwa ajili ya wanaothamini ndoa. Kwenye ndoa hakuna kujitegemea, bali wote watakuwa mwili mmoja, hayo unayoleta ni nje ya ndoa hivyo nje ya mada.
 
Wanaume wote wanabeba mizigo kwani?.

Hamna softer works that u can also do uingize kipato?

Hiyo mizigo sio lazima iwe anafanya ili apate kuongeza kipato ni majukumu waliyopewa na aliyewaumba
Juzi nilikua nahamisha makabati makubwakubwa mbona wanawake4 tulishindwa hadi wakaja wanaume2 na kazi ikaenda fasta
Hapa ndio nasemaga hakuna usawa ila kuna haki sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…