Kwani ukitoa pongezi utapunguza siku!?
Pongezi wakati ulimfunga mtu wangu .
Mmmmmmmmh
Dr kahtaan ebu nitajie mtandao unaotumie nikurushie japo 10,000 ujirushe kimasai.
CC; Tayeb. THE BIG SHOW
Hongera mkuu@kahtaan unastahili
Dr kahtaan ebu nitajie mtandao unaotumie nikurushie japo 10,000 ujirushe kimasai.
CC; Tayeb. THE BIG SHOW
Hapa naona chenga tu!
Kudadeki nasepa na sirudi tena humu!! Teh teh teh!
Leo unaenda kigango cha wapi?
Mwanyanya! Na ahadi yangu iko palepale sirudi tena humu!
Teh teh teh!
Usisahu kubeba na yale mambo yetu ya pale kanda ya kati!
Upeleke kama zawadi huko!
Hongera kwa ushindi Baba wa kufikia wa Matola aka asha Mohamed.
Dr kahtaan ebu nitajie mtandao unaotumie nikurushie japo 10,000 ujirushe kimasai.
CC; Tayeb. THE BIG SHOW
Kahtaan anadiserve.
Doktor Kahtaan upo juuu, wenye wivu wajinyonge, haha.... Am proud of you
Umeona eeee!Akichangia mada habahatishi!Hongera zako Kahtaan
Hongera mkuu@kahtaan unastahili
Dr. kahtaan nimemsoma siku chache humu mtandaoni na nimejua huyu ni fundi.
Khataan is quite a character
Hongera mkuu