Nitakuwa niki update huu uzi daily kwa kumpongeza JF member of the day ambae jina lake litaapia kwenye hiyo render hapo juu. Vigezo nitakavyotumia kumpata Mshindi ni hoja na uchangiaji wake wa mada mbalimbali. Mshindi wa jana alikuwa Mkuu KAHTAAN.
Naomba huyo jmaa anaeingia kwenye hilo geti awe ni Black Colour. Hatuwataki hao wenye rangi nyeupe wanao shabikia na kuhararisha ushoga na usagaji.
Hasante
Sio swala la ukafiri wala nini.., we hua huonagi mibandiko ya huyu jamaa.., mi huwa ananikera sana.., yaan sijui huyu Exorcist ame-consider kitu gani..., tuwe tunapiga kura bwana.., iwekwe poll..!! MODS tafadhali ingilia kati..!!!
kumbe kuna kufagiliana hapa...?
What gives you the audacity to be the judge? From your join date it is clear that you are not new here. You certainly have another ID.
On the other hand, what do you hope to achieve from such a move?
Stick to your day job is my twopence worth of advice.
Ha ha haaaaa ha nicheke niongeze siku mie.