Jamii Forums MEMBER of the DAY!

Exorcist

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
1,243
Reaction score
1,279

Nitakuwa niki update huu uzi daily kwa kumpongeza JF member of the day ambae jina lake litaapia kwenye hiyo render hapo juu (Click to View Larger image yake). Vigezo nitakavyotumia kumpata Mshindi ni hoja na uchangiaji wake wa mada mbalimbali. Mshindi wa leo (05/03/2014) alikuwa Mkuu TONNY GWANCO.
 
Naomba huyo jmaa anaeingia kwenye hilo geti awe ni Black Colour. Hatuwataki hao wenye rangi nyeupe wanao shabikia na kuhararisha ushoga na usagaji.
Hasante
 
Tunashukuru kuanzisha shindano, ila chonde chonde msituite kuchukua zawadi maana maadui zetu wanaweza kujitega mlangoni mwenu, wakatunyofoa kucha na kututoa meno bila ganzi
 

Thanks Professor.
 
Teh teh teh!

Leo nimewekewa na mataa!
Natamani mwanangu wa kufikia angekuwepo turuke nyoka pamoja!

Mkuu kahtaan sijamuona binti ako wa dharura / kufikia Matola au ndo atawa..?!!

Nifikishie salaamu zangu kwake, mjuze shughuli zimenibana ila namkumbuka na kadi yake naikumbuka pia.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu naomba umtambulishe kwa jina lake maarufu hapa Jamvini kama Dr kahtaan maana haitoshi kusema kahtaan bila kuanza na Dukturi.

Ahsante
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…