Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 250
social networking tayari ni get together, sasa wewe unataka ya aina gani in the context of web 2.0?
Te te te nitakuwa pande hizo mazee hao waoga oga achana nao. Wasimtafute mwanakijiji anaekuna kila upele wakutafute wewe wa jukwaa la mahaba:lol::lol::eyebrows:
Mkuu, Yesu Kristu na Marealle wanahusianaje?Yessu kristu Marealle
Ish! Kwani Jf tangu lini imekuwa ni ya CHADEMA. Hebu tujuvyaneWanachama wa vyama vingine tuwakaribishe? eg CUF, CCM? Nahisi tunaweza kubadilishana mawazo juu ya mstakabali wa nchi yetu!
ununio beach si inamilikiwa na Rostam ( I stand to be corrected) kama ni hapo nawatakia get together party njema, mimi sitafikaVenue ni ufukweni mwa bahari ya Hindi, pale Ununio Beach.
Baadae kidogo ntawatumia picha ya mandhari ili muweze kupata picha kamili ya eneo lenyewe.
Usalama upo, kwa ajili yenu na mali zenu.
ununio beach si inamilikiwa na Rostam ( I stand to be corrected) kama ni hapo nawatakia get together party njema, mimi sitafika
Mkuu tuwe tunakumbushana hapa kwa style hiyo naamini uzee wetu utashughulika kuweka kumbukumbu.Twelve days left