Jamii Forums Get Together

Msijali ASKOFU YUKO KAMATI YA VINYWAJI ATAKUJA NA BOKSI ZA KUTOSHA ZA VALUER,SAFARI WOTA
 
Ujumbe nimepata, ila saa ngapi mjomba? Hiyo issue ya kwamba CCM watakuwa wameshachukua nchi yao ni woga usio na base... JF itaenedelea kuibua hoja zinazoathiri jamii iwe CCM au Chama kingine chochote na daima itasimamia ukweli na haki. Kama watatukamata basi wapanue kwanza selo maana tutakuwa wengi kwelikweli... na hilo litatusaidia sana kuutangazia ulimwengu ukweli kwamba hadi leo tunatawaliwa kidikteta ila tu ni waoga hatuwezi kupinga utawala uliopo. JF leteni mabadiliko hata kama itabidi tuteseke kidogo. NAAFIKI MWALIKO NA NITAKUJA NA SHOKA YANGU
 
Askofu usije ukionekana tutamwomba mod akupige ban ya kutoongea mpaka uondoke

Mod anapiga ban kwenye keyboard tu... kwenye mihadhara hawezi...

Msijali ASKOFU YUKO KAMATI YA VINYWAJI ATAKUJA NA BOKSI ZA KUTOSHA ZA VALUER,SAFARI WOTA

Sijui hiyo kamati nani kaiteua... anyway, nitaleta divai zilizoombewa za kutosha... (itasaidia kukamilisha zile sala zangu za kulaza baiolojia)...
 
Mod anapiga ban kwenye keyboard tu... kwenye mihadhara hawezi...

Sijui hiyo kamati nani kaiteua... anyway, nitaleta divai zilizoombewa za kutosha... (itasaidia kukamilisha zile sala zangu za kulaza baiolojia)...

Askofu lini valuer zikageuka kuwa divai?
 
Hata maji yaligeuka kuwa divai.... iachie kamati hili suala...

Maji ndiyo yaligeuka lakini valuer haijawahi kugeuka okay kama ulivyosema nitakuachia wewe na kamati yako ya vimiminika usije ukamwaga valuer zetu halafu ukatujazia maji kwenye chupa ukasema umetenda muujiza
 
Venue ni ufukweni mwa bahari ya Hindi, pale Ununio Beach.
Baadae kidogo ntawatumia picha ya mandhari ili muweze kupata picha kamili ya eneo lenyewe.
Usalama upo, kwa ajili yenu na mali zenu.

Mkuu nithibitishie hapo kwenye nyekundu, naulizia zile mali za 'kuhamishika'
 
Nitakuja kufungua hiyo tugeza yenu kwa :pray::pray::pray: ... then mtanieksichuzi niendelee na shughuli za huduma za kanisa kwingine... :lock1:(nina uhakika kwa maombi hayo baiolojia zote zitalala):lock1:... huku mkiendelea...:grouphug::drum::drum::behindsofa::gossip::clap2::horn::horn::horn::bathbaby::wave::angel::israel::party::party::amen:
:confused2::confused2::confused2::confused2:
 
Maji ndiyo yaligeuka lakini valuer haijawahi kugeuka okay kama ulivyosema nitakuachia wewe na kamati yako ya vimiminika usije ukamwaga valuer zetu halafu ukatujazia maji kwenye chupa ukasema umetenda muujiza

Utastaajabu Valuu zenu zitakapogeuka kuwa maji... lakini usijali, divai zitakuwepo kutenda kazi
 
Back
Top Bottom