Pearl, hebu toa basi hicho kidole mdomoni aiseemmmh action speak beta zan words,watu wanaongea tu hapa turn up ndo itakuwa ishue,anywei tusubiri tuone watakao tokea kwenye hiyooo get 2geza.I will be zea
:confused2::confused2:Mpwa karibu Valuer na Chapati
Ndio kama hivi mkuu....Huyu hapa chini atakuwa halali yangu!
Pearl, hebu toa basi hicho kidole mdomoni aisee
hiyo kucha si ishaisha?
iko proper mazee... siye tutajimwaga, anayeogopa basiWaswahili wanasema kama imo, imo tu.
Yessu kristu Marealleaku chitaki mie,basi nkitoa kidole changu ntaingiza dole lako
Nitakuja ukichukulia ntaanza kufunga jana yake.
redbull zitakuwepo?
Siku hizi sigopi kukamatwa na wanausalama maana kumbe ukiwagopa watakusakamaaaa mpaka ujivue urais
Tufike pale lakini tusijitambulishe kwa id zetu wala tusioneshe any uhusiano wa tunavyopost na tunavyoongea. nadhani siku hiyo tusiongelee anything kuhusu siasa. tuongelee mambo ya kikubwa tu hahaha
ASPIRIN andaa panado za kutosha maana da sophy atakuwepo
Utakuwepo ku du the nidful si unajua nyama choma,valuer na safari wota
Nitakuja ukichukulia ntaanza kufunga jana yake.
redbull zitakuwepo?
Siku hizi sigopi kukamatwa na wanausalama maana kumbe ukiwagopa watakusakamaaaa mpaka ujivue urais
Tufike pale lakini tusijitambulishe kwa id zetu wala tusioneshe any uhusiano wa tunavyopost na tunavyoongea. nadhani siku hiyo tusiongelee anything kuhusu siasa. tuongelee mambo ya kikubwa tu hahaha
ASPIRIN andaa panado za kutosha maana da sophy atakuwepo
acha kuogopa kwani usemacho siyo kweli?usalam ziro wajameni siku hiyo tutakimbiana wenyewe kwani get together but it will be run away
Conquest-Wana jf TUNATAFUTWA NA MAADUI ZETU KUTOKANA NA UKWELI WETU.
asprin wantakani lkn weye?
yala...nitakuwa busy na da sophy kuwatibia watakaozidiwa na maumivu ya kichwa na mgongo........
iko proper mazee... siye tutajimwaga, anayeogopa basi
kuna verse inasema --- its a dream afraid of waking, that never takes a chance
i will wake up and take my chance
aku chitaki mie,basi nkitoa kidole changu ntaingiza dole lako