Nasikia Chrispin kafunga ndoa na Charity Invizibo akawapiga ban la maisha! Chrispin aliingia anga za mwenye nyumba...pole zao!Hahahahaha.I will be more than happy kukutana na mate wa mpwa.Na hivi siku hizi Chrispin kala ban ya maisha ni raha tu.TZ bila ya infidelity
INAWEZEKANA...
Ndio hayo pilau nipike mimi halafu wewe uibebee ndizi
hii safi sana mpwa lol
actualle nilidhani ni next week hii get togeza!
unaonaje hilo zungui ukalileta siku hiyo ya chomachoma...!!Infidelitoz nadhani watakwa kazi kama kawa!!:smile-big:Nasikia Chrispin kafunga ndoa na Charity Invizibo akawapiga ban la maisha! Chrispin aliingia anga za mwenye nyumba...pole zao!
Ndio hayo pilau nipike mimi halafu wewe uibebee ndizi
unaonaje hilo zungui ukalileta siku hiyo ya chomachoma...!!Infidelitoz nadhani watakwa kazi kama kawa!!:smile-big:
Siku haziendi haraka ifike hiyo siku jamani! Natamani nikutane uso kwa uso na Mkuu MS, Mzee Bujibuji, Binti Sayuni! Mamaaaa bht nk wengi tu!
Hata mimi skulimeti wako huna hamu ya kuniona? Kweli infidelity is there to stay!
Asprin
sijaona kutangaziwa ubao chini ya muembe. Mnataka kunambia darasa la wazi halitakuwepo siku hiyo?
Ndio kama hivi mkuu....Huyu hapa chini atakuwa halali yangu!ha haha, si unajua viburudisho ni muhimu, chai kavu hainogi mkuu.
mmmh action speak beta zan words,watu wanaongea tu hapa turn up ndo itakuwa ishue,anywei tusubiri tuone watakao tokea kwenye hiyooo get 2geza.I will be zea
Ndio kama hivi mkuu....Huyu hapa chini atakuwa halali yangu!
kuna ka-ukweli lakini ukishaamua kujilipua hakuna ujanja tenadogo ww mgeni sana online......haya kakutananeni ila msije kulia lia hapa....
kuna ka-ukweli lakini ukishaamua kujilipua hakuna ujanja tena