Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,494
- 167,094
Venue ni ufukweni mwa bahari ya Hindi, pale Ununio Beach.
Baadae kidogo ntawatumia picha ya mandhari ili muweze kupata picha kamili ya eneo lenyewe.
Usalama upo, kwa ajili yenu na mali zenu.
Naunga mkono Hoja!
Itapendeza sana kusherehekea kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika tukiwa pamoja!
NB:
(Venue ni Ufukweni mwa bahari ya Hindi, pale Ununio Beach,Kunduchi Dare es salaam.)
ukizingatia there wil be a new president!!!
hii geti tugeza ina baraka za invizibo kweli?
Napenda kuwaalika wana Jamii Forums wote kufika kwa ajili ya mishikaki na nyama choma siku ya tarehe 09.12.2010.
Siku hiyo tutaweza kujumuika kama Forum na kufahamiana.
Nawakaribisha sana.
mkuu ujatuelezea vizuri ni wana jf tu??kwa hiyo wanyumbani not allowed wasilete vihelehele!!au??:a s 8:
Wamarekani ni muhimu ujue.upende usipende tunawahitaji.....Jamani hata get together ni hadi kwa hisani ya watu wa marekani??
Ifike mahali ambapo tuwe na maamuzi yetu wenyewe kwa kile kilicho sahihi, sio lazima kuamuliwa kila kitu.
napenda kuwaalika wana jamii forums wote kufika kwa ajili ya mishikaki na nyama choma siku ya tarehe 09.12.2010.
Siku hiyo tutaweza kujumuika kama forum na kufahamiana.
Nawakaribisha sana.
Jamii forums sio sisi tu, bali na wale tunaoishi nao kwenye jamii yetu.
Napenda kuwaalika wana Jamii Forums wote kufika kwa ajili ya mishikaki na nyama choma siku ya tarehe 09.12.2010.
Siku hiyo tutaweza kujumuika kama Forum na kufahamiana.
Nawakaribisha sana.