Jamii Forum! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamii Forum!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by njiwa, Aug 28, 2010.

 1. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,071
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  Mimi Nafkiri viongozi wetu wa nchi wangekuwa wanapoteza hata masaa mawili kuingia Forum kama hizi basi wangejua nini cha kufanya na wananchi walio wengi wanahitaji nini.. najuwa humu kuna wachekeshaji, wabishi , na waosha vinywa , ila bila wao hatuwezi kujuwa zipi pumba upi ni mchele Wanajamii forum kura yako ndio italeta mabadiliko tanzania nawashauri mchague kiongozi na wala msichague chama :focus:
   
 2. S

  Shambano Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wanajamvi mpoo? kama kawa ndani ya nyumba. Tujenge heshima ndani ya nchi yetu kwa plan b kama zilizopo zimeshindwa
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Wewe umetokea wapi??
   
 4. K

  Kiliochetu Fadhili Member

  #4
  Nov 24, 2013
  Joined: Nov 24, 2013
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaani huyu Richard Mgamba ??????????????? mbona serikali ipo kimya sanaaaaaa
   
 5. Himidini

  Himidini JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2013
  Joined: May 8, 2013
  Messages: 5,570
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 145
  ^^
  Mbona wana watu wao humu? Ukitaka kujua jaribu kubwatuka
  ^^
   
 6. kabanga

  kabanga JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2013
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 29,803
  Likes Received: 3,702
  Trophy Points: 280
  hapo umenena, na wakiguswa utasikia mtaani ...
   
 7. Mshomba

  Mshomba JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2013
  Joined: Apr 7, 2013
  Messages: 1,603
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Humu ni kama mseto kuna vigogo balaa wengine huwezi kuamini
   
 8. Inferiority Complex

  Inferiority Complex JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2013
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 2,704
  Likes Received: 1,121
  Trophy Points: 280
  Wamo wengi tu ila wanapendelea sana MMU na wanachokiandika huko utachoka.
   
 9. kimbendengu

  kimbendengu JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2013
  Joined: Jun 7, 2013
  Messages: 2,140
  Likes Received: 1,069
  Trophy Points: 280
  kapuya yupo MMU
   
 10. mwekundu

  mwekundu JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2013
  Joined: Mar 4, 2013
  Messages: 20,000
  Likes Received: 7,970
  Trophy Points: 280
  Muulize ,mkamia anapajua hapa
   
 11. k

  kapuyanga mkware JF-Expert Member

  #11
  Nov 24, 2013
  Joined: Nov 16, 2013
  Messages: 589
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kapuya anaona kila kitu humu ndo maana katorokea Sweden.
   
Loading...