JAMII FORUM TUANDAE MAANDAMANo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JAMII FORUM TUANDAE MAANDAMANo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AMARIDONG, Jan 31, 2011.

 1. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  KILA SIKU,UKIFUNGUA JAMII FORUM UTAKUTANA NA THREAD TUANDAMANE,CHADEMA ANDAENI MAANDAMANO,VYOMBO VYA HABARI HAMASISHENI MAANDAMANO NK

  NAFIKIRI NI WAKATI UMEFIKA SASA SISI WENYEWE TULIOMO HUMU AMBAO MUDA MREFU TUNAUTUMIA MAOFISINI TUKIWA KWENYE VITI VYA KUZUNGUKA NA AC KWA MBALI TUINGIE MITAANI

  NI WAKATI WA KUONYESHA MAPINDUZI SIO KUSUBIRI MACHINGA WAANDAMENI WAUWAWE HALAFU SISI TUNACHUKUA KAZI YA WAANDISHI WA HABARI NA KUPOST HUMU WAWILI WAFA ARUSHA,WANNE WAMEPIGWA VIBAYA MWANZA,HAPANA HUU NI WAKATI WETU
  TWENDENI BARABARANI ,TUBEBE MABANGO NA SISI TUWAELIMISHE HATA WALE WASIO NA ACCEESS YA JAMII FORUM

  huo ndio uzalendo wa kweli
   
 2. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  posible watu wanandika tuu inabidi waingie mtaani waonyeshe misimamo,big up nakubaliana nawe
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mbona wote hamsemi tuandamane kwa ajili ya nini?
  Nini chanzo cha hayo maandamano?
   
Loading...