Jamii forum party/meeting

hay tuwasaidie kuweka title ya hapo maana hiyo party sio sehmemu yake lakini uenda mlidhani kwamba neno hili jema.oky msijali
 
Ingekuwa funika mwaka, kwani nawakubali raia kibao kama Jaluo_nyeupe, bujibuji, washawasha, nyaningabu, Malaria Sugu...
 
moderators tunaomba mtufikirie kuandaa huo mdahalo wa jf utani/jokes tuonane waweza kuta ni ndugu na pia waweza kuta mtu na mkewe ni memba wazuri wa jf bila kujua kwa kutumia majina mbalimbali na avatar tofauti
 
Mie nataka kumuona Bujibuji ousofia mkubwa huyo...........pia nimuone Preta......kisha nitademo kupiga katerero
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom