Jamii forum kunyamazishwa?

Status
Not open for further replies.
JF sio forum ya kulani- mafisadi, mambo ya vita dhidi ya ufisadi ni kipengele kimoja tuu kati ya vingi ndani ya-JF, ni Jukwaa la Siasa. Vipenhele vingine vingi bado vipo. Hata vita vikiisha mambo mengine kibao muhimu yatapata nafasi nzuri mfano ni hoja ya kila Mtanzania ni tajiri, anatakiwa kumiliki gari, kuwa na nyumba nzuri na kuishi vizuri ikiwa ni pamoja na kula vizuri na kupata starehe. Tatizo hapa sio mafisadi, ni mfumo wa uchumi uliopelekea wachache wamiliki mali na wengi wahangaike.jF inatakiwa ikusaidie wewe usie na nyumba, gari na pesa za kutosha na ziada ya kununulia stock ili kubadili maisha yako, yangu na yake kwa kifupi maisha yetu. Sio suala la ufisadi ni zaidi ya hapo,. Hii ndio JF ijayo baada ya vita na 2010 kupita salama.

Mawazo mazuri mkuu,

Moto wa JF unaunguza kila kila kitu na unatoa mwanga kwa kila asiyeona! Ni familia mtambuka (cross-cutting). Hatutakiwi kujibana kwenye pembe moja na kuta nyembamba. Ila kwa sababu ya matukio ya nyakati hizi tunaweza kukubaliana kwa wingi wetu kuwa kuna mambo ya kipaumbele. Na muhimu ni ukombozi wa nchi yetu. Simply to overhaul this system which has come to a complete halt after cruising for about half a century. After that, other priorities will obviously emerge and JF will have to take lead too! It's just an immortal family (Alpha and Omega).
 
I loved those words, kwa hiyo una maana kunyamazishwa JF mpaka kiama kije??

waberoya
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom