Wadauz mpooo
Kama kawaidaa yetuu humu MMU ukaletwaa uzii mtu anataka kufaaa wee tukaushikiliaaa bango hatare thread ikanogaaa mpaka basiiii michambo ikapambaa moto si utanii ,mie mtoto wa kikee yamenikutaa aisee
My laazizii kipenzi cha moyo wanguuu, we ndo joto langu, blanket langu, utamu wanguu,jamani ni kupitiwaa tu ukatuma sms kwa Whatsapp jamani nikawa najibu huku natoka kuchunguliaa umbeaa wa jamiii wa NATAMANI KUFA!
Maana uzi ulinogaa mpambano ulikua mkalii balaaaaa, heeee laaziz si akagunduaaa mweeeee kesiii hiyo ninayo miee naisovu mwenyeweeeee aisee natakaa nianze kupotea poteaa kidogoo maanaa Jamiii tamu,mume mtamu zaidiii haki ya baba hata mama anajuaa hilii kua mume mtamu nakupenda sanaa unafahamu hilo.
Jaman mpenzi wangu,mume wangu kipenziii hakuna kama wewe hapa chini ya jua naomba nisamehee kwa kosaa langu nimekukosea najuaa nimejuaa kosa languu najutaa kukuharibia siku ile ya janaa maana ulikua na hamu ya kuchart na mimi najua utakuja soma hapa nisameheee jamanii Jf hii ni balaaa ngoja nisepe mieee.
Hayaaa
TATIANA Ichana
Sista Evelyn Salt miss neddy enhance masai dada na wengineeooo nioombeenii balaa hilii mwenzenuuu.
Kama hujisikii kukoment soma kimya kimya Sepaaaaaa