Mbona anajibishana sana tatizo ni kujibishana au ni kwenda kinyume cha maadili? Wapo wengi wanawake wamo humu na jamaa zao hawajui maana waliwazuia wakaamua kwenda kwa fake ID's kwahiyo kipi bora uone asemacho au akufiche hayupo jamii kumbe kajaa kama bwabwa la Eid katika karne hii watu wana uhuru wa kufanya kilicho kizuri bila madhara kwenye jamii wala mahusiano yeye kuwa JF akajadili mada mbalimbali sioni tatizo maana ni furaha yake ili mradi hakuna zaidi ya hapo tatizo midume ya humu mingine haipo kimijadala ipo kiutongozaji ikiwa quoted mara mbili tatu na ikapigwa likes au kuwa mentioned next inatuma PM kudhania imependwa. Wapo wanawake wengi sana humu nawajua na wana jamaa zao humu JF pia wapo ambao jamaa zao hawajui wamo yaani jamaa yupo JF na mke yupo Jf wote wanatumia fake Id's na hawajuani au jamaa hayupo kabisa JF lakini bibi kajaa tele na wala haiongelei JF pia bwana yupo JF bibi hayupo JF haya mambo ni kujuana bibi kutokuwa JF haimaanishi katulia sana anaweza kuwepo kisiri au hayupo lakini mambo yake makubwa ni luzi Fulani lakini akiwa na wewe bwana anajifanya si muongeaji hata ukitaja k au m anaruka huna haya wee mwanaume kumbe zinamramba kila mwezi wanaume tofauti
Shoga ijia tu nipo mbagala, dira blue kiremba chekundu, funguo za gari ntakufikiria....
Sasa best ndio nn kuanza kutoleana siri nje!! Halafu wewe!! Najua ntakuanika wapi!
Mmmhhhhh
Plz nianike yoote usiweke picha zangu hapa...
Siwezi kukutundika humu waubani wangu ww.
Nilichokuwa nataka kufanya ni kumtafuta aliyepoteza hiyo funguo aje aichukue
ila kesho monday hivi kuna kazi kesho?
Jamanii usisemee sanaa maneno yako yananipaa wivuu,usijaliii Tatiii
Heeeee makubwa kwa hilo tena ni mara mia uweke picha
funguo sirudishi hata kwa bunduki...
Kesho holiday tunafidia jana. ??????
Hayaa nishaachaaaaa namcaree sasa hiviiiii
Nawe dear umeingia JF kuelezea yaliyokusibu badala ya kuniandikia tu whatsapp nami nikaacha kujitokeza lakini maadamu uliandika kuokoa mahusiano hilo umefanikiwa maana hali ilikuwa mbaya. Lakini sasa nakukumbusha kuwa kuandika kwako huu uzi nami nikatokea jiandae kwa yafuatayo JF, less likes, less quotes, less mentions and less PM toka kwa wanaume baadhi walikupigia hesabu wakupate wale hutumia JF kutafuta wa kulamba ila wengine wataendelea maana ni wanaforum wa kujadili bila kujali sie siasani na kwenye Great Thinkers hatuana hili tatizo kama huku MMU malavidavi mengi na imagination za kumpata fulani nyingi mno sababu ya ile mijadala ya mapenzi wengine hutekewa na kudhania kweli