Jamii forum hii lol!

Mmekaa kiswahili swahili duu,,ndo mana mie naichukia tz

Yaan shogaa ulitukatishaa wali wa msibaaa weyee halaf nawe uache uswahili wa kutundanganya kua unakufa halaf hufiii hayaa shombe la kihayaa,kiha au kijitaa!!!
 
Mmekaa kiswahili swahili duu,,ndo mana mie naichukia tz

Utuwache na uswahili wetu tuinjoi maisha yetu ya kiswazi.. Evelyn Salt hebu niazime like dera lako la blue leo naenda jahazi modern.. Dinazarde upo chumbani kwakoo? Nakuja uniazime zile hereni zako nimatch na dera leo nna mtoko. Kim nana naomba mboga nishaivisha ugali mie hata sijapika mboga leo nilikuwa na hela ya unga robo tu.
 
Last edited by a moderator:
Kupewa Ban ya utamu siyo rahisi namna hiyo.............

huo ulikuwa wivu tu , wakutokujaliwa kwa muda.

Jamanii kidogo nipate preshaa nashukuru Hubby wangu Redlum kanielewaaa penda sana mi yeyeee,nitajali huo mudaaa aisee sitaki kumkosaaaa
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaa, usijali shoga njoo uchukue mlendaaa.
Halafu naona marehemu kafufukia huku, mswahili yeye aliyetubania pilau la msiba.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…