Jamii forum hii lol!

Halafu kwa nini iwe mimi na si mwingine? Mbona mi naona unajimix na wanaume kibao tu humu.

Sijui nina nini tu. Huwa napakaziwa mengi mno.....

Ushapakaziwaa ee hebu watajee wanafika wangapi ukiwahesabuu,watu wanataka uwaletee ma white diamond,degree's wanukieee chezeaa vitu vya mamtonii bila kusahau simuuy hahhhha
 
Mmekaa kiswahili swahili duu,,ndo mana mie naichukia tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…