Jamii Forum: Experimental Videos

Ya sauti nadhani ata mzungumzaji wa kiswahili atafaa akiweza lugha zote mbili hiyo ni bonus, ilibidi ni copy logo ya JF alafu na kuiflatten kwa photoshop.

Ningependa Maxence atupe general guideline kwa sababu hizo clips zote nilizitengeneza kutokana na pure instincts tu, maadam msimu wa soka umeisha nitapata muda wa kukaa chini na kufikiria na kuplan out nini cha kufanya.

SFX ziko sorted out accordingly sema kuchambua, kusikiliza na kupreview pekee yako inataka moyo sana mara nyingi nikiwa natafuta a certain sound basi naziload kwenye ipod nasikiliza siku nzima.
 
Reactions: 3D.
Ningependa Maxence atupe general guideline kwa sababu hizo clips zote nilizitengeneza kutokana na pure instincts tu, .......................

Let's pray maombi yako yasikike.
 
Weekend njema.
 
Last edited by a moderator:
kumbe na huku huwa una mambo mazuri hiviiiiiii. teh teh teh teh Safiiiiiiii
 
Hii ya pili nimeipenda sana tuifanyie promotion na out side the system
 
Based on Tron Legacy.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: 3D.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…