Jamhuri yapinga dhamana kwa wanawake waliovishana pete

Jamhuri yapinga dhamana kwa wanawake waliovishana pete

Asote tu uyo dada coz akirudi mtaani atatukosesha madem bure ebu fikiri akio mitara tutakosa wanawake wangap
 
Tupicha jameni Mimi kwa upande wang I Think it is their lives wangewachiwa wafanye wanavotaka bcoz kuwazuia. Aisaidii chochote
Wamejianika sana as if wanashawish wengne wafanye kama wao
 
Wakae tuu ndani hamna namna. Iwekwe sheria kali kwa wote wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile
 
Moja ya sababu nchi yetu ni masikini ni kuyapa umuhimu mambo yasiyo muhimu na kupuuza mambo muhimu.

Wanachotaka kufanya watu wazima wawili ni shauri yao.

Sheria ya nchi hairuhusu ndoa za jinsia moja.

Hii michezo ya kuigiza ndoa haijakatazwa.

Ni serikali isiyofanya kazi tu inayoweza kupoteza muda wake kufuatilia kila mchezo wa kuigiza.
 
Back
Top Bottom