Jamhuri yapinga dhamana kwa wanawake waliovishana pete

Jamhuri yapinga dhamana kwa wanawake waliovishana pete

Raha mke na mme kukaa selo moja hata kifungo hakiwezi kua kikali
 
Watu wa namna hii mbona wengi na polisi haiendi kuwakamata? Hawa wana nini cha tofauti???
Inashangaza sn mkuu,,, tena Kuna MADUME YANATAFUNWA LIVE,,, na mitandaoni yanajitangaza,, mbn hawakamatwi? hivi wanamke wanaosagana au MIDUME inayotafunwa wapi wana ATHARI ZAIDI? ni kweli hao wana makosa lakini Si makosa ya kutopata dhamana,,,
 
Hao mawakili wanaowatetea wana akili kweli? Au wanatafuta kujulikana! Au ndo hela
 
Inashangaza sn mkuu,,, tena Kuna MADUME YANATAFUNWA LIVE,,, na mitandaoni yanajitangaza,, mbn hawakamatwi? hivi wanamke wanaosagana au MIDUME inayotafunwa wapi wana ATHARI ZAIDI? ni kweli hao wana makosa lakini Si makosa ya kutopata dhamana,,,
Kwa suala mashoga kweli, hapa inabidi serikali ichukue hatua pia,sbb ni wengi na baadhi yao wanaanika mitandaoni!

Kigwa aliwahi sema wakamatwe!
Lkn mtu mwenyew kashakufa
 
Kwa suala mashoga kweli, hapa inabidi serikali ichukue hatua pia,sbb ni wengi na baadhi yao wanaanika mitandaoni!

Kigwa aliwahi sema wakamatwe!
Lkn mtu mwenyew kashakufa
Nani kishakufa mkuu? Mishoga imejaa tele mjini,, tena utawajuwa kwa mwendo na kuongea kwao,, wala uhitaji cha zaidi,, hao wadada wanawaonea tu,,, wadada wakisagana ni just romance tu,,, Ila MDUME MISHOGA ndy inaathari zaidi kwa jamii,, wawakamate mashoga km wanavyokamata watu wanaotukana mitandaoni,,,
 
Watu wa namna hii mbona wengi na polisi haiendi kuwakamata? Hawa wana nini cha tofauti???
Miongoni mwa waliocomment hapo juu wamefanya mambo ya kifedhuli kuliko hata hao mabinti. Wengi humu ni wafil...ji, wanafanya mapenzi ya midom..., masikio nk. Wanazini na watoto na vitu vingine vya ajabu ajabu lakini Leo kelele mpaka jikoni kisa mtoto kadokoa mboga. Sitetei walichofanya, lakini kuligeuza kuwa tukio kuuuubwa kuliko la Babu Seya mnayeshangilia kusamehewa kwake ni Uzuzu.
 
Nani kishakufa mkuu? Mishoga imejaa tele mjini,, tena utawajuwa kwa mwendo na kuongea kwao,, wala uhitaji cha zaidi,, hao wadada wanawaonea tu,,, wadada wakisagana ni just romance tu,,, Ila MDUME MISHOGA ndy inaathari zaidi kwa jamii,, wawakamate mashoga km wanavyokamata watu wanaotukana mitandaoni,,,
Aliyekufa ni yule ambae kigwa aliamuru akamatwe!!
Sina maana wengine hawapo bado
 
Acha wabakinkwanza huko,wanatishia kuendelea kwa kizazi cha kesho,wamesababisha wanaume wawili kukosa wake kwa wao kujigeuza wanandoa watarajiwa,
Hawana faida uraiani acha wabaki huko kwa umri wa mzee Matonya.
 
Waendelee kusota tu......naunga mkono hoja. Labda Chadema wajitokeze kuwatetea ili tu waende kinyume na Jamuhuri

Leo JPM akiwaachia kwa msamaha. Watu kama wewe mtakuja hapa hapa JF kushangilia na kutukana wote wanye mawazo tofauti na nyinyi. Yaani kuna watu sijui akili zenu mmeshikiwa au vipi!
 
Back
Top Bottom