Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Jamhuri ya Muungano ya Tanzania?

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,047
10,696
Wanajamii huwa nikitatizika sana kuhusu jina nchi yetu.Naona kuwa ingeleta maana zaidi kama ingeitwa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwa maana nchi mbili ziliungana kuzaa nchi ya Tanzania.
 
The United Republic of Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Neno Jamhuri ya Muungano ni moja na linawakilisha Tanzania. Kwahiyo ukosa sahihi kabisa. Vinginevyo labda waiite ''Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar''
 
The United Republic of Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Neno Jamhuri ya Muungano ni moja na linawakilisha Tanzania. Kwahiyo ukosa sahihi kabisa. Vinginevyo labda waiite ''Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar''

Najua kubadili ni vigumu,ila ilikuwaje ikawa hivyo?
 
Leo Tarehe 26 April, 2020 ni sikukuu ya Muungano, sikukuu hii ndio sikukuu muhimu kuliko hata uhuru kwasababu hii ni siku JMT ilipozaliwa. Lakini kutokana na janga hili la Corona, siku hii inaadhimishwa kimya kimya.
Naawatakia Muungano mwema huku nikisisitiza
Nautakia huu muungano wetu adhimu udumu milele na hivyo kukitokea yoyote anayetaka kuuchokoa muungano, namshauri chokochoko amchokoe pweza, muungano hutauweza kwasababu tutaulinda kwa gharama yoyote.
Nawatakia muungano mwema.
P
 
Back
Top Bottom