Jamhuri ya Ajentina | República Argentina

S
Analosema Bujibuji ni kweli kwa kiwango chake, asilimia kubwa ya Waajentina ni wabaguzi wa rangi lakini hii naona inachagazwa na viwango kwa taifa.

Ajentina ni taifa lenye watu wa uchumi wa kati kwa asilimia 80, huku wengi wao ni asili ya Italia na Uhispania. (Majority kubwa ya Coffee's ni wenye uchumi mdogo) + (Asili ya baadhi ya Waaitaliano) hapa ndio tatizo linapoanzia.
Coffees ndo akina nan?
 
Nilipoenda Argentina,nilienda na vjmbi lá Congo,nikamkamata demu mkali pale Retiro , nilimla kwa fujo😬
Nalog off
 
Mkuu,Kisiasa hujagusia hata kiufupi tu,

Walikuwa na rais mwanamke Christina Fernandes naona sasa hivi yupo Alberto Fernandes vipi hawa wana Uhusiano au majina tu?
 
Mkuu,Kisiasa hujagusia hata kiufupi tu,

Walikuwa na rais mwanamke Christina Fernandes naona sasa hivi yupo Alberto Fernandes vipi hawa wana Uhusiano au majina tu?
Cristina Elisabet Fernández de Kirchner (Mwanamke) na Alberto Fernández (Mwanaume) hawa ni majina tu ya ubini.
 
Back
Top Bottom