Jamhuri Vs Opptertus Fwema

Jamhuri Vs Opptertus Fwema

"publications of false information" through a simple cartoon drawing is so ridiculous. Cartoons aren't meant as "publications of true information". In fact, in essence, cartoons only convey opinions and are not bearers of any factual information.

You and I know it but the government and its organs/incumbents who desire to please leaders will not leave such publication untouched.
 
Back then nilishawahi kufanya internship kwenye ofisi za DPP. Mkuu hizi kesi za ajabu ajabu huwa wanaletewa tu na kuambiwa wazipeleke mahakamani. Mara nyingi tu walikuwa wanaandika mapendekezo kwa zile kesi ambazo ni untenable kuwa there's no way they can secure conviction, lakini unakuta wanalazimishwa kupeleka mahakamani. So they just do it anyhow
Usije tafutwa, kwani hapo hutofautiani na Fwema kwa ujumbe wako.🏃
 
Hayo maneno "anaongoza nchi vizur" ndio mabaya.

Kipanya katun zake ambazo hazina maneno zinawapa hadhira namna ya kuona maana mbalimbali.

Na yeye akihojiwa atajibu jibu kirahisi tu kuwa ni baba na mtoto.

Ila kuweka jina hilo kwa huyo baba , hata mtoto wa darasa la 7 atakuwa na tafsiri hiyo hiyo unayoifikiria ww

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Lakini Jina halijaonyesha kama huyo ni Kikwete, bali ni Kiwete. Haya ni majina mwili tofauti. Hati ya mashitaka imeandikwa Kikwete, wao wamelitoa wapi hilo jina?
 
Hao waendeshaji mashtaka ndio wanapaswa kushtakiwa, kwa sababu...
1. Wametafisiri vibaya (wamepotosha kimakusudi )katuni ya mtu mwingine.
2. Wamechafua viongozi wetu kwa kuwahusisha na michoro ya katuni isiyowahusu.
 
Lakini Jina halijaonyesha kama huyo ni Kikwete, bali ni Kiwete. Haya ni majina mwili tofauti. Hati ya mashitaka imeandikwa Kikwete, wao wamelitoa wapi hilo jina?
Ni kweli. Linasomeka kiwete.

Maneno ndio yatamfunga.
Haikuwa na haja kuweka jina.

Hakukuwa na haja kuweka maneno kuwa ataongoza nchi.

Kuchora watu wanaofanana ni sawa, ila kiweka neno nchi, ina maana huyo mtoto ndio anaongoza nchi. Ndio tafsiri yake.

Maneno ndio yatamfunga. Kesi ipo.
 
Sidhani, maana katuni Kuwa na maneno si shida. Na wala maneno ', anaongoza nchi vizuri' bado si shida, anaweza kuyasema yeyote bila kujali hadhi. Ni kwa vile tu watu bukamatwa kabla ya upelelezi, vinginevyo hakuna sababu ya kusumbuana kwa mambo madogo kama hayo
 
Aliwachora vibaya kina mbowe huyu.
Huyu ndiyo alomchora mbowe akiwa na KONYAGI mkononi
Acha yamkute
 
Mbn sijaona mahali alipoandikwa hao waheshimiwa, huyo aliefungua mashtaka ndo anatakiwa kushtakiwa kwa kuafsiri kwa namna hyo. Hii kesi ikienda mahakamani itakua Kama Ile ya makomandoo tu.
Waendesha mashitaka wa Tanzania ni aibu kuu
 
Ni kweli. Linasomeka kiwete.

Maneno ndio yatamfunga.
Haikuwa na haja kuweka jina.

Hakukuwa na haja kuweka maneno kuwa ataongoza nchi.

Kuchora watu wanaofanana ni sawa, ila kiweka neno nchi, ina maana huyo mtoto ndio anaongoza nchi. Ndio tafsiri yake.

Maneno ndio yatamfunga. Kesi ipo.
Kiwete ni nani? Nchi hiyo unayoisema ni nchi gani? Natamani niwe Wakili wa huyo cartoonist nili niwanyooshe hao watakaokuja kutoa huo ushahidi aisee. Yaani kama wewe ni mmoja wapo wa hao mashahidi, na huu ndiyo ushahidi ushahidi mnaoutegemea basi you're as good as nothing
 
Back then nilishawahi kufanya internship kwenye ofisi za DPP. Mkuu hizi kesi za ajabu ajabu huwa wanaletewa tu na kuambiwa wazipeleke mahakamani. Mara nyingi tu walikuwa wanaandika mapendekezo kwa zile kesi ambazo ni untenable kuwa there's no way they can secure conviction, lakini unakuta wanalazimishwa kupeleka mahakamani. So they just do it anyhow
Ofisi ya DPP inatumika hovyo kabisa
 
Yatamfungaje na wakati kamsifia,hivi nikisema chifu Hangaya anaongoza nchi vizuri ni maneno mabaya.

Na kwenye hiyo katuni kiwete ni nani na huyo mtoto anayechezea maji badala ya kufua ni nani na hiyo nchi ni nchi gani?

Hii kesi hata wakili akiwa Stive Nyerere au Joti anashinda.
Ni kweli. Linasomeka kiwete.

Maneno ndio yatamfunga.
Haikuwa na haja kuweka jina.

Hakukuwa na haja kuweka maneno kuwa ataongoza nchi.

Kuchora watu wanaofanana ni sawa, ila kiweka neno nchi, ina maana huyo mtoto ndio anaongoza nchi. Ndio tafsiri yake.

Maneno ndio yatamfunga. Kesi ipo.
 
Mkuu, ofisi ile ina very good lawyers ila tu misuse of those brains ndiyo inapelekea mambo ya ajabu haya
Good lawyer ni yule ambaye anakataa kutumika vibaya kinyume na sheria na taratibu, ukiona mtu amefaulu vizuri alafu anatumwa kufanya mambo ya kijinga na anakubali huyo ni zaidi ya shetani.
 
Back
Top Bottom