Jamhuri Vs Opptertus Fwema

Jamhuri Vs Opptertus Fwema

Kesi hizi huamuliwa kwa hisani ya jaji, jamuhuri haiwezi kushindwa, rejeeni kesi za Sugu na mwenzake (Mbeya) na Mbowe na wenzake (Dar.) Kwa hisani ya jaji walifungwa na baada ya kutumikia kifungo kikafutwa eti walifungwa kwa makosa! Na huyu tusitegemee muujiza kwani mawakili wa serikali hujua matokeo ndiyo sababu hufanya mzaha.
 
Sheria inanasijiwa Tanzania
 
Hayo maneno "anaongoza nchi vizur" ndio mabaya.

Kipanya katun zake ambazo hazina maneno zinawapa hadhira namna ya kuona maana mbalimbali.

Na yeye akihojiwa atajibu jibu kirahisi tu kuwa ni baba na mtoto.

Ila kuweka jina hilo kwa huyo baba , hata mtoto wa darasa la 7 atakuwa na tafsiri hiyo hiyo unayoifikiria ww

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kumbe anaongoza nchi vibaya? Hapo hakuna kesi. Ushaidi wa kwanza ni ripoti za vyombo vya habari, yakiwemo magazeti ambayo yamemnukuu JK akitamka maneno hayo hayo yalipo kwenye katuni!
 
Back
Top Bottom