James Rugemalira kuzishtaki taasisi zilizoiibia Serikali

Hamna kesi hapo

Screenshot_20211102-220702_Instagram.jpg
 
Yupo sahihi huyo mzee hii kesi yao ni kubwa aiwezi kuishwa kwa kutegemea msimu wa raisi mpumbaavu ,maana jamaa kaona bora iendelee hivyo maana akija kushika hii nchi raisi mzalendo asiyekuwa mpumbavu ujue hiyo kesi bado ipo hata kama watakuwa wamekufa itaangukia familia zao na mali zao kwahiyo kaona bora wamalize wenyewe kuliko kuwaletea familia matatizo
Mzee ameona mbali sana.
 
Huyu Mzee ni mwanaume kweli ,Hawezi kufanya afanyayo bila backup ,nadhani wenye Nchi wamempa go ahead.Tunamtakia Kila la heri Mungu amtie nguvu na kumsimamia.Sisimizi anaenda kumuua Tembo.Watanzania mkumbuke siku Nchi hii ikipata Rais mwenye maono ndani ya miaka kumi tu umasikini utakua historia.
Ni kweli.
 
huyu mzee...dah.....anachokonoa mwamba wa DHAHABU kwa vidole.....sijui washauri wake ni wakina nani.....???....angenyamaza kimya nini kingemsibu.....au ndio mkuki kwa mkuki???? wa kwake ncha kainoa vema??? vita ya majasusi wastaafu na walioko kazini............wacha tulipilize bange letu....busy na machinga kwa sasa....
Unadhani rugemalila ana njaa Kama wewe umelizika na kamshahara kako ka laki 9 na ka IST unajiona maisha umemaliza

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Huyu Mzee anajua mambo mengi sana ambayo serikali haiyajui ama imeyafumbia macho makusudi..

Kwa hii kesi ndio utajua hii nchi inaliwa kwa namna gani

Kikwete kuna maswali inabidi atusaidie kujibu hapa.
Kweli kabisa Kikwete anatakiwa atueleze ilikuwa je atua, vie kuwa hizo pesa zilikuwa si za Serikali.

Na wale wanaosema watu walibamvikiwa kesi watie neno hapa pia.
 
Huyu Mzee ndiyo mzalendo namba moja Tanzania, mzalendo wa kweli na ktk madili yake anataka siyo tu marafiki zake pekee wafahidi pesa za escrow bali hata serikali yake ipate haki yake ya kodi ili nasisi tupate huduma kama miundombinu kupitia kodi zilizokwepwa na makampuni tajwa ktk kesi hii ya kizalendo.
Mzalendo baada ya kukaa jrla miaka 4?
Tuseme basi uzalendo kajifunzia jela
 
kama ana ushahidi wa kutosha na ikafanikiwa kuwatia hatiani basi Mzee Ruge atakuwa shujaa wa karne.
sisi wazalendo tunamtakia kila la heri kwa maana nacho kipigania ni Haki ya wananchi wanyonge, fedha za watanzania.
 
Back
Top Bottom