James Orengo vs Tundu Lissu

Eloquent PLO credebility plunges to zero. Eti petition dead on arrival.
That is the risks of getting involved in political manoeuvrings. We have examples here at our homeland; Where is the famous Lamwai? Gently, Shivji was getting into it with his supposed reasoning on the Katiba thing.
 
Mnabwabwaja tu wekeni evidence hapa kuonyesha kwamba mnawajua wote...

Unamjua mmoja unamjugde mwengine, huo ni upuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jua kitu kimoha tu James Orengo alikuwa na kesi rahisi sana ,kesi za uchaguzi hazijawahi kuwa ngumu maana mara nyingi ushaidi wake uko wazi tu kumfananisha Orengo na Lissu kwa kikesi cha wevi wa kura ninkumvunjia heshima .
Chukulua mfano Jecha na watu wake wangepelekwa mahamani na maaalim seif (sio wakili wa cufbalu seif peke yake )unafikiri shein angekuwa rais?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata huyo orengo angekuwa mwanasiasa angekuwa tofauti kwenye majukwaa ya kisiasa, mahakamani Tundu Lissu utamtamani sana na pengine kwa sababu umesema hujawahi kumuona mahakamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kesi za uchaguzi hazijawahi kuwa ngumu hata siku moja !


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo tunaishi kimagumashi sana,mbona hapo awali hamkuwahi kumfananisha huyo Olengo na Lisu?au hapo awali hakuwepo?
 

Rubbish,nonsense, , We bilashaka utakuwa delicious
 
Naona wana similar characteristic na Lissu, activist! Alikuwa na ujasiri wa ajabu sana mpaka kuweza kumchallenge Moi.

Orengo siku zote anapigania maslai ya Wakenya, Lissu recently nashindwa kumwelewa. But I think in one way or another Orengo anaweza kuwa role model wa Lissu, hasa hapo kwenye uthubutu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu wakawaida sana...believe me am a lawyer...is ain't best.

Akiwa courtin ana mbwembwe kama kawida yake...unavyo muona nje na ndani ndo hivyo hivyo ispokua anaiheshmu mahakama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lumumba PLO alitoa english yake ngumu nadhani majaji hawakumuelewa...kama...anaongea kingereza au kilugha wakabaki kalamu haziandiki
 


..wanafanana kwa mambo mengi.

..wote wanajulikana kwa misimamo yao mikali.

..ni wanaharakati wa muda mrefu. Orengo miaka 40+ na Tundu miaka 20+.

..Kenya walianza harakati zao kabla yetu waTz.

..wote hulaumiwa mara kwa mara kwa kutumia lugha za kuudhi na kutokuheshimu "mamlaka."

..Orengo amepata kuwekwa rumande mara kadhaa, kubambikiwa kesi za uongo,na hata kulazimika kuishi uhamishoni[Tz,Ug,Zimb].

..TL naye amekuwa kama mwenyeji ktk rumande mbalimbali za jeshi la polisi. Amebambikiwa kesi nyingi. Pia amewahi kuishi nje ya nchi. Sina uhakika ni kwa mapenzi yake au kukimbia usumbufu wa dola.

..Wote ni viongozi wa kisheria wa vyama vyao.

..Ni wanasheria. Na wake zao pia ni wanasheria.
 
Hao wamekufa au wameishiwa nguvu mawazo yako unataka wote tukunjie mikia matakoni siyo?
 
..kwa kweli kuna parallel kubwa baina ya James orengo Na Tundu Lissu....binafsi nafurahi sana nikiona tunaweza ku draw hizi parallel Kati ya magwiji hawa wa sheria Na siasa za upinzani....
...kuna parallel moja mleta mada umesahau kuwafananisha....nayo ni level za elimu zao Na vyuo walivyosomea sheria ...ukiwasoma vema utagundua kuwa hawa wala si madaktari wa sheria(PhD holders)...bali wamefika hapo malipo kwa degree zao moja moja tu za sheria.....Na wamezipatia kwenye vyuo vya nyumbani kwao....Na wote wamewahi kuwa viongozi wa wenzao tangu vyuoni....hii ni uniqueness inayowatofautisha Na wanasheria wenzao wote east Africa...

...jingine ni kuwa wote wamejipambanua pia kama wanaharakati(activists)..Na wote ni wabunge wa kuchaguliwa...

....nitafurahi kuona siku moja Lissu anagombea urais tz....dhidi ya mkulu JPM...Nami nitampigia debe Lissu kwa nguvu zote....hakuna kama yeye tz....
 
Kwa mfano huu mleta mada kama hajakuelewa basi aanze upya kuimba ule wimbo wetu.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…