James Orengo vs Tundu Lissu

Mkuu Barafu Tundu ni "rheotic" lawyer na ni kweli kabisa hana consistency kwenye hoja zake nakubaliana na wewe uliposema kuwa ni mtu aliyeamua kupinga kila jambo sababu tu ya kupinga pia si lazima wachache huwa sahihi.
Najua humpendi kabisa...Lolote zuri la Lissu huwezi kuwa pamoja nae
Halafu kumbuka umuhimu wa matumizi ya " " katika maneno niliyotumia
 
Tundu hana mpinzani, kama.kungekuwa na marais tanzania wenye kujielewa TUNDU LISSU alitakiwa kuwa Chief Justice
 
Tundu hana mpinzani, kama.kungekuwa na marais tanzania wenye kujielewa TUNDU LISSU alitakiwa kuwa Chief Justice
 
Mkuu Barafu Tundu ni "rheotic" lawyer na ni kweli kabisa hana consistency kwenye hoja zake nakubaliana na wewe uliposema kuwa ni mtu aliyeamua kupinga kila jambo sababu tu ya kupinga pia si lazima wachache huwa sahihi.
Hakusema kuwa wachache wapo sahihi, bali huwatetea wanyonge hata katika mazingira ya kunyanyapaliwa.
Mara zote ameibuka kidedea.

Kwa kesi ya kupinga matokeo aliyoisimamia Orengo, ushahidi ulikuwa wazi mno kiasi hata Nimrod mkono angeshinda kesi hiyo.
Maana ilikuwa rahisi kuthibitisha irregularities kwenye uchaguzi na kuishawishi mahakama kuwa fairness haikuwepo.

TUNDU LISU KITU INGINE. Orengo nae ako poa.
 
Anaweza kuwa zaidi ya Olengo hilo liko wazi ,hana hofu anajua kuichambua sheria lkn pia kuisimamia yeyote asiyekuwa na ushabiki akawa msema kweli mh Tundu Antpasi mungwai lisu yuko vizuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua humpendi kabisa...Lolote zuri la Lissu huwezi kuwa pamoja nae
Halafu kumbuka umuhimu wa matumizi ya " " katika maneno niliyotumia
Na mbaya anatamani asingekuwa wakili na mwanasiasa tuyakubali yoote yaliyomtengeneza mwanadamu tatizo lao wanasahau makosa yao mapema na kujisifu kwa njia za mkato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye Supreme Court ya Kenya kwenye kesi ya Uchaguzi walionywa Mawakili kwambabhawako kwenye Mahakama za kawaida hivyo wanatakiwa kubehave hiyo ilikuwa onto la kwanza la Judge.

Kwa wale tuliosikiliza mwanzo ni alisema mapema sana.
 
J.orengo sijamfuatilia vizuri,ila kwa T.lisu kwa jinsi anavyowagaragaza wanafiki ccm mahakamani kila wanapomsakisia kesi sina mashaka naye wala wa kumfananisha naye.anatisha sana
 
HIKO NDIO KITU WATU WANASHINDWA KUELEWA_ASANTE MKUU
 
Inaonekana unamfahamu TL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaleta uzi kwenye jukwaa la siasa alafu unasema wanasiasa mkae pembeni si ungepeleka kule kwenye jukwaa la katiba na sheria. Wewe ni chizi usiejitambua
 
Orengo ni motto huko kenya tundu lissu ni mwiba tz they r both epic nawakubali woote wawili plus the wiper farah maalim .....
 
Uliza jamhuri wanamjuaje lisu mahakamani, (usiulize serikali tafadhali).
 
Orengo may be anaonekana yupo wima kutokana na Nchi anayoishi.

Huyu Orengo ukimleta Tanzania kwa siasa na muhimili huu wa mahakama ulivyokuwa weak ukute tayari yupo Jela siku nyingi km angekuwa anafanya km haya anayofanya Lissu.

Ukimpatia Lissu uwanja huru wa sheria na siasa kama huo wa Kenya basi Ukute tunaongelea jabali la sheria duniani.


aeiou
 

Nimeanza kumfuatilia James Orengo siku nyingi sana Mkuu na nadhani kumfananisha na Tundu Lissu utakuwa unamkosea mno Heshima ( James Orengo ) ila ninachoweza kusema ni kwamba Tundu Lissu ndiyo anamuiga na bado ana mengi sana ya kujifunza kutoka kwa ' Mwanamume ' James Orengo.

Zifuatazo ni Sifa zake James Orengo ambazo kwa ukizitafuta kwa Tundu Lissu unaweza usizipate leo wala kesho au hata zisiwepo kabisa:

  1. James Orengo ana akili za kuzaliwa siyo za kuzikuta shuleni au ukubwani.
  2. James Orengo alienda Shuleni kupata maarifa mengi na siyo Kuelimika tu.
  3. James Orengo si Mtu wa Kukurupuka bali ni Mtu makini na mwenye kupima jambo Kwanza.
  4. James Orengo ana nidhamu hasa ya Kisheria na huwa si Mkaidi mbele ya Sheria za nchi na Mamlaka.
  5. James Orengo tokea akiwa anasoma Chekechea hadi University alikuwa wa Kwanza / anaongoza tofauti wa wengine ambao wamekuja kuwa wa Kwanza kwa Kubahatisha tu wakiwa Mlimani / School of Law.
  6. James Orengo hana rekodi yoyote ile ya uwendawazimu kama ambavyo Wanasheria wengine sehemu mbalimbali duniani inasemekana waliwahi kuwa na uwendawazimu uliotukuka.
  7. James Orengo huwa hafanyi Uanaharakati bali anafanya Siasa safi na zenye mashiko.
Kumfananisha James Orengo na Tundu Lissu ni sawa na leo hii utake kumfananisha Kocha Jose Mourinho ( James Orengo ) wa Chelsea ya Uingereza na Kocha Jamhuri Kihwelo ( Tundu Lissu ) wa Dodoma Kombaini ya Dodoma Tanzania. Wapi na wapi?

Bado sijaona kama James Orengo hapa East Africa.
 
Hii ya Kenya ni aibu kwa a kina che-nkapa maana ni kikwazo cha democrasia
 
Unamfahamu Orengo?
wapo sawa tu. Tundu lisu ashapangua kesi ya uchaguzi peke yake bila kuwakilishwa na wakili, nimesha appear na Tundu mara nyingi kama opponent wake, yupo vizuri sana na akili yake ni sharp...ujasiri anao sana, na anajua kufanay presentation na kukonvinsi mahakama jambo ambalo ni asset kubwa sana kwenye tasnia ya legal practice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…