Hawa ni wamachame sio wachagga mzeeKumbe wachaga kuna mafala kiasi hiki?
Hakuna wa kumchagua huyo mpumbavu ..pia mpina kadanganywa alitakiwa kugombea ubunge tu siyo urais ...tayizo la bmvyama vya uoinzani wanadhani hii miaka 5 inayokuja ni ya siasa za kidemokrasia ...mimi nawaambia miaka 5 inayokuja ni ya mchaka mchaka wa vita kisiasa.Mtoto wa Freeman Mbowe, Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), James Mbowe,amesema anamuuga mkono Freeman Mbowe, kwa kitendo chake cha kutotoa maoni yake juu ya yanayoendelea ndani ya CHADEMA Pamoja na Kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu.
James, ameyasema hayo wakati akizungumza na wanahabari kuhusu mwenendo wa chama hicho akiwa katika ofisi za CHAUMMA.
"Taasisi inayowekeza kwenye kutukana waasisi wake, imejiua yenyewe, namuunga mkono Freeman Mbowe,
kunyamaza, yeye kwenye chama alimaliza wajibu wake, sasa mnataka aseme nini wakati wajibu wake yeye alishamaliza" amesema
Ni kweli kabisaa mkuu , wachaga ninaowajua hawana mambo ya ajabuHawa ni wamachame sio wachagga mzee
Kama Chadema ya sasa inavyojiona ya muhimu kuliko wengine huku ina pancha kila tairiHawa ng'ombe wanajiona wamuhimu kweli!
Ajabu wabaki na hiyo chadema yaoMtoto wa Freeman Mbowe, Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), James Mbowe,amesema anamuuga mkono Freeman Mbowe, kwa kitendo chake cha kutotoa maoni yake juu ya yanayoendelea ndani ya CHADEMA Pamoja na Kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu.
James, ameyasema hayo wakati akizungumza na wanahabari kuhusu mwenendo wa chama hicho akiwa katika ofisi za CHAUMMA.
"Taasisi inayowekeza kwenye kutukana waasisi wake, imejiua yenyewe, namuunga mkono Freeman Mbowe,
kunyamaza, yeye kwenye chama alimaliza wajibu wake, sasa mnataka aseme nini wakati wajibu wake yeye alishamaliza" amesema
Mbowe ni mtu mwenye busara sanaMtoto wa Freeman Mbowe, Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), James Mbowe,amesema anamuuga mkono Freeman Mbowe, kwa kitendo chake cha kutotoa maoni yake juu ya yanayoendelea ndani ya CHADEMA Pamoja na Kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu.
James, ameyasema hayo wakati akizungumza na wanahabari kuhusu mwenendo wa chama hicho akiwa katika ofisi za CHAUMMA.
"Taasisi inayowekeza kwenye kutukana waasisi wake, imejiua yenyewe, namuunga mkono Freeman Mbowe,
kunyamaza, yeye kwenye chama alimaliza wajibu wake, sasa mnataka aseme nini wakati wajibu wake yeye alishamaliza" amesema
Dogo bora ungekaa kimya kila ukifungua hilo domo lako unazidi kudhirisha upumbavu uliojaza kichwani mwako, jitahidi kuficha ujinga wako.Mtoto wa Freeman Mbowe, Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), James Mbowe,amesema anamuuga mkono Freeman Mbowe, kwa kitendo chake cha kutotoa maoni yake juu ya yanayoendelea ndani ya CHADEMA Pamoja na Kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu.