Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.