James Mbatia: UKAWA ipo imara, haitasambaratika, akerwa na kauli za Magufuli, CCM

Kama wewe ni kilaza na mkurupukaji unayehitaji kufikirishwa, utaamini hii stori!
INAWEZEKANAJE? hata mwaka mmoja ningehoji hw da fvck is it possible!
 
Mbona wagombea ni CCM A NA CCM B??

Au Mbatia amelisahau hilo?

Queen Esther

 

Hata ukiacha kumuheshimu haina impact yoyote
 
Anaeshuka njiani hataombwa kurudi au kuingia ,kila mmoja ana uhuru wake wa kufuata chama atakacho na kujiunga apendako ,ikiwa kadondoka Slaa na Lipumba na mambo ndio yamezidi kunoga itakuwa huko kwa Mbatia na wengine ,vipo vyama ambavyo vinaendelea na msimamo na zaidi habali ya mujini na vijijini ni Lowasa.

CCM wanadhani wakiwanunua viongozi wananchi watabadili dira yao ya kutaka mabadiliko na badala yake kufuata chama cha CCM au sijui niseme Magufuli ,kwani sasa haijulikani Magufuli anaeleza ilani za CCM au Ilani zake au ananadi Chama chake au ananadi ubinafsi wake. ameshawatenga wenziwe sasa ni sera za Magufuli ,Tanzania ya Magufuli ,haya tumwache kama alivyo ,maana kacharuka hajui atendalo ,wananchi hawazifuata sera feki za magufuli aka CCM ,hawarudi nyuma,

Wameondoka akina Slaa ,sijui wasanii ila mambo yanazidi kunoga wanasema ngoma inogile ,yaani waondoke wote wananchi watachagua Jiwe na sio CCM na sera zao FEKI.
 
Waende zao... ccm haiwez nunua wananchi wapenda Tz na sisi hao ndo mtaji wetu... ukawa ndo sisi an sisi ndo ukawa... hao viongozi wa nccr hawazidi 10... kama wataamua kuuza utu wao powa tu.... mambo yote ya ukawa yanatakiwa yawekwe kwenye meza na si ya vyombo vya habari... wamenikera kumpa adui points za kuongea... malofa ndo sisi na wapumbavu ndo sisi wenyewe.... ushindi 2015 hauna pingamizi..... vichinjio ni vya moto kwenda uwa mnyama mkuu ccm comes oct 25th...
 
Kwanza viongozi wenyewe hata hawajulikani kabisa kwa Wananchi. Mimi nilikuwa namfahamu tu Katibu wao mkuu, ambaye hata hivyo hana influence yoyote kubwa katika siasa za Tanzania. Viongozi wengine wale pamoja na makamu mwenyekiti hata siwafahamu kabisa, na ndio mara ya kwanza kuwasikia. Kama alivyosema Gwajima, Dr.Slaa ndiye ilikuwa silaha yao ya mwisho. Wengine hawo ni kupoteza muda na resources zao
 
Ila wasiondoke au kununuliwa kwa dau dogo ,yaani angalao wafike milioni 70 au hata 50 ,chini ya hapo ni wale wanaodharauliwa ambao hata kwa 20000 wanauza utu wao,
 


waulize twaweza kwanza? K..nge we
 

Haka kajamaa nadhani kangejiandaa tu na za uso katakazopewa na Mrema vunjo, then kasubiri tena Magufuli akateuwe ubunge viti maalum-Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…