James Mbatia: Samia Suluhu anahujumiwa

Mkuu karibu kujiongeza kidogo. Huyu sio muda wa mizaha tena. Polisi wameuawa na Hamza kauawa. Hawa wote ni Watz wenzetu waliokuwa na michango kwenye familia zao na kwetu pia kama Watz.

Sasa kejeli zako hazina maana hata kama wewe ni sehemu ya wanufaika wa matendo haya maovu au pia wewe ni sehemu ya Polisi. Hatujui ni Nani atafuata Kati yangu Mimi na wewe au na Yule/wale baada ya wale waliokwishatangulia.

Polisi wafanye kazi zao Kwa mujibu wa sheria. Mahakama itekeleze majukumu yake kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Nchi. Vivyo hivyo na Wanasiasa watekeleze majukumu yao Kwa mujibu wa sheria.

Haya yote yanayotokea hivi sasa yanassababishwa na CCM Kwa kuyaingilia mihimili mingine na kuyapangia namna ya kutekeleza majukumu yao. Kuna siku vyombo vya dola vitagomea CCM ktk maagizo yao. Ama wale wote watakaokuwa wamechoshwa watatatenda kama alivyotenda Yule Kada Mtiifu wa CCM yaani Mwamba Hamza.
Mbatia anataka kutudanganya, narudia tena kusema Polisi sio wajinga hawawezi kuzuia mkutano kama taratibu zingefuatwa, Polisi ndio chombo pekee toch kitegemea kulinda amani na utulivu wa nchi, sasa inapo fikia kiongozi kama Mbatia anaanza kupotoka kwa kuto kuviheshimu vyombo vya ulinzi hapo amefika pabaya.
nia ya Mbatia ni kutaka kulichafua Jeshi la Polisi kwa Chuki za rafiki yake MBOWE kufunguliwa kesi ya Ugaidi!!
sasa Mbatia aange kuwa anaheshimu utawala wa sheria kwa kipindi hiki angenyamaza tu kwa kuwa tayari suala la Mbowe lipo Mahakamani, lkn Mbatia ameonyesha unafaki tangu siku Mbowe alivyo kamatwa, analazimisha aachiwe Mbowe sio Gaidi!! nilimshangaa sana!!! wakati huo huo alipo kuwa amekamatwa Sabaya alilipongeza Jeshi la Polisi na kusema limetenda haki!!! unaweza kuona unafiki wa huyu mtu,!! amekosa hata aibu!!!
kisa rafiki yake kafunguliwa kesi ya Ugaidi!! anaweweseka, aache sheria ifanye kazi yake asiingilie Mahakama.
Namshauri Mbatia asicheze ngoma ya CHADEMA wala asikubali kuwa KIBARAKA wa CHADEMA maana chadema imekuwa ni KICHAKA cha WAHUNI na wapinga amani ya nchi.
Mbayia aache unafiki, afuate sheria na taratibu zilizopo.
 
Anapwaya tu. Hahujumiwi. Hana calibre ya kuongoza Taifa. Haya mambo ya usawa wa kijinsia (+corona) vimemsaidia kufika hapo. Magufuli alisema kuwa alitaka mgombea mwenza awe mtoto wa Mwinyi. Magufuli akaamua kumpa Samia tu kwa vile ni mwanamke.

Katiba yetu inampa madaraka makubwa sana Rais. Kama ana akili ya kuyatumia vizuri, basi anafika mbali. Huyu mama hana hiyo akili kabisa. Mpaka 2025 hakuna mtu atakuwa na imani na wanawake tena kwenye nafasi kubwa za uongozi kama hiyo. Anawaharibia akina mama wote.
Wewe unajulikana kwa ghulka yako ya kudharau wanawake akiwemo mama yako chuki yako imezidi hasa kwa mwanamke huyo kuwa mzanzibari tena muislamu sasa nakupasha rais samia yupo na ataendelea mpaka 2030 mungu akipenda chuki zako zitakumaliza mapema wewe na watu kama wewe.
 
Hakuna hujuma ndio hulka yake ya uongozi ila wanasahau Tanzania ina evolve kwaiyo viongozi wengi wa CCM ni wahafidhina wanasahau Sasa hivi idadi kubwa ya watanzania ni vijana wenye uelewa na maarifa ukilinganisha na miaka ya nyuma
 
Mbatia anataka kutudanganya, narudia tena kusema Polisi sio wajinga hawawezi kuzuia mkutano kama taratibu zingefuatwa, Polisi ndio chombo pekee toch kitegemea kulinda amani na utulivu wa nchi, sasa inapo fikia kiongozi kama Mbatia anaanza kupotoka kwa kuto kuviheshimu vyombo vya ulinzi hapo amefika pabaya.
nia ya Mbatia ni kutaka kulichafua Jeshi la Polisi kwa Chuki za rafiki yake MBOWE kufunguliwa kesi ya Ugaidi!!
sasa Mbatia aange kuwa anaheshimu utawala wa sheria kwa kipindi hiki angenyamaza tu kwa kuwa tayari suala la Mbowe lipo Mahakamani, lkn Mbatia ameonyesha unafaki tangu siku Mbowe alivyo kamatwa, analazimisha aachiwe Mbowe sio Gaidi!! nilimshangaa sana!!! wakati huo huo alipo kuwa amekamatwa Sabaya alilipongeza Jeshi la Polisi na kusema limetenda haki!!! unaweza kuona unafiki wa huyu mtu,!! amekosa hata aibu!!!
kisa rafiki yake kafunguliwa kesi ya Ugaidi!! anaweweseka, aache sheria ifanye kazi yake asiingilie Mahakama.
Namshauri Mbatia asicheze ngoma ya CHADEMA wala asikubali kuwa KIBARAKA wa CHADEMA maana chadema imekuwa ni KICHAKA cha WAHUNI na wapinga amani ya nchi.
Mbayia aache unafiki, afuate sheria na taratibu zilizopo.
Jitahidi ufiche ujinga wako ule ulikua ni mkutano wa ndani unaotokana na katiba ya chama chao kwaiyo polisi ulikua hauwahusu pia ukizingatia gharama na muda uliotumika kuaandaa huo mkutano halafu Polisi wanatoa sababu za kijinga kuuzuia
 
vyama vya siasa vyote vina fahamu utaratibu.
Jeshi la polisi pia linafahamu utaratibu.
Mbatia aache kuuhadaa uma, aeleze alicho kosea sio kudanganya na kuchomeka chomeka mambo ambayo hayamhusu.
Mbatia aache kabisa kuikejeli na kuizodoa Serikali.
Mbatia ajue kuwa yeye hayupo juuu ya Sheria, walala yeye sio mmiliki wa Mama Tanzania.
 
Kwaiyo serikali haitakiwi kuzodolewa, tuambie wewe wamekosea utaratibu gani na ni kwanini kila siku wapinzani ndio wanakosea utaratibu mbona hatuona hayo kwa CCM?
 
Watasingiziwa mawaziri wake hapa haya achague wala urojo tuone wataifikisha wapi nchi zaidi ya kurudi kwenye mgao wa umeme na ufisadi
 
Wala urojo hawastahili kuchaguliwa?!!

Imeandikwa kikatiba ama pang'ang'a zako tu huko porini?!!!
 
... mtu kawaambia yeye na magufuli ni kitu kimoja ila wanaendelea kujidai kama samia ni tofauti. Sijui wamesahau kama serikali ni ileile ya ccm? Mama kama aliahidi mambo tofauti na msimamo wa ccm hilo ni shauri lake. Ccm ina yake kuhusu nchi hii wala sio ya mtu.
Ccm ina wanaachama wangapi na nchi ina watu wangapi. Kwa nini ccm iwe ndio nchi. Nchi ni watu wote waliomo... Ni bora kusiwe na vyama kabisa tunachoshwa tu.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Mbatia anataka kutudanganya, narudia tena kusema Polisi sio wajinga hawawezi kuzuia mkutano kama taratibu zingefuatwa, Polisi ndio chombo pekee toch kitegemea kulinda amani na utulivu wa nchi, sasa inapo fikia kiongozi kama Mbatia anaanza kupotoka kwa kuto kuviheshimu vyombo vya ulinzi hapo amefika pabaya.
nia ya Mbatia ni kutaka kulichafua Jeshi la Polisi kwa Chuki za rafiki yake MBOWE kufunguliwa kesi ya Ugaidi!!
sasa Mbatia aange kuwa anaheshimu utawala wa sheria kwa kipindi hiki angenyamaza tu kwa kuwa tayari suala la Mbowe lipo Mahakamani, lkn Mbatia ameonyesha unafaki tangu siku Mbowe alivyo kamatwa, analazimisha aachiwe Mbowe sio Gaidi!! nilimshangaa sana!!! wakati huo huo alipo kuwa amekamatwa Sabaya alilipongeza Jeshi la Polisi na kusema limetenda haki!!! unaweza kuona unafiki wa huyu mtu,!! amekosa hata aibu!!!
kisa rafiki yake kafunguliwa kesi ya Ugaidi!! anaweweseka, aache sheria ifanye kazi yake asiingilie Mahakama.
Namshauri Mbatia asicheze ngoma ya CHADEMA wala asikubali kuwa KIBARAKA wa CHADEMA maana chadema imekuwa ni KICHAKA cha WAHUNI na wapinga amani ya nchi.
Mbayia aache unafiki, afuate sheria na taratibu zilizopo.
Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa Vyama vya upinzani pekee ndivyo vinavyokiuka sheria ya kuendesha shughuli zao za kisiasa sio?? CCM ndio wenye haki na uelewa wa namba gani wawatumie Polisi kwenye kutekeleza majukumu yao sio?

Mbowe sio Gaidi Ila chuki zenu kwake ndizo zinazowafanya mumbambikie kesi zisizo na dhamana mkidhani mnamkomoa kumbe mnajiabisha wenyewe.

Huwezi mlinganisha Sabaya na Mbowe hata siku moja. Mmewasha Moto wenyewe endeleeni kuchochea. Nyumba ikiteketea msikimbilie kusema tuweni wazalendo.

Mbatia katoa ujumbe tosha Kwa watawala. Ni jinsi gani Watz wapenda haki walivyojawa na hasira dhidi ya dhuluma na uonevu wa wazi Kwa Wanasiasa hasa wa Upinzani
 
Hata Waisrael wakiwa jangwani safarini Caanan walilalama hovyo na kutamani warudi utumwani Misri. Sio ajabu, ni hulka tu ya kibinadamu.
Labda tulizoea sana kufokewa na tunamiss hilo!!
 
Sasa kama anahujumiwa lakin Bado anakubali kuhujumiwa basi yeye mwenyewe ndo ana shida .Hata ukiskiliza hotuba zake zinaonyesha anayabaliki yote yanayotokea cc miamala ya simu akasema Watanzania wamekubali halafu Leo mseme anahujumiwa.
 
Huyu Mama angekuwa na akili timamu, ''sijasema hana akili'' ila timamu naamini hana na kama anazo asingewaacha kina Mwigulu wafanye watakavyo kwa kisingizio cha kukusanya mapato.
Rais mwenye akili anaongoza watu na sio kuongozwa. Anatakiwa afute kazi Mawaziri wote, wakuu wa mikoa wote, wilaya na Wakurugenzi wote halafu akae ndani ajifungie achambue na kuhakiki ndio aje na timu yake.
Rais wa nchi hawajui hata wakuu wa mikoa 26 tu halafu eti tuseme tuna Rais... huyu Mama anaenda kuzika ndoto za wanawake wenzake kuja kuaminiwa tena katika nchi hii.
 
Hapa ndipo wapinzani huwa wanachemka.Mama ni dikteta na anajua analofanya.Kitendo cha kumtetea ati anahujumiwa kinamfanya aendelee kutumia mbinu yake hii ya kuua kimyakimya bila makelele.
 
Back
Top Bottom