dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,956
- 9,482
Mjinga alidanganywa na Jiwe angempa wabunge akasaliti wenzieNi kweli japo mimi humuona ni msaliti wa upinzani ameongea kwa uchungu sana labda itakuwa mwanzo wa kukataa kutumika na wahuni wa maccm.
Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app