Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
katika hali inayoonesha kufilisika kisiasa na kutumika na chama cha mapinduzi, bwana mdogo James Mbatia amesikika akikosoa kwa mtindo wa mafumbo waheshimiwa wabunge wanaoichagiza serikali huku akitumia maneno kama "wanapandikiza chuki". Bila kutaja ni chuki gani wala kutaja ni wabunge gani hao, Mbatia, aliyepewa air time ya kutosha na TBC kwa ajili ya kumwaga upupu huo hakuwa na la maana la kuzungumza zaidi ya kuishia kulalamika na kukashifu.
my take:
Tumekusikia bwana mbatia; hao unaowaona hawafai sisi ndiyo tunawataka na tutaendelea kuwachagua daima kwa sababu hawana mabo ya kishosti-shosti.
<br />Hv hotuba za m.k.were za mwisho wa mwezi siku hz vp?
siongezi nenoNadhani wale majamaa (SCANDAL KUU ANAYOSHINDWA KUIKANUSHA) walio mdonyoa sasa ni wanachama hai wa CHADEMA ndio maana sioni ajabu haeleweki yeye ni kambi ya upinzani au ni kutoka chama tawala,huyu analeta personal issues.
Bado anahasira na za kushindwa uchaguzi katika jimbo la KAWE na mpiganaji Halima Mdee. Isitoshe chama chao ni chama cha MANUNUZI, hivyo hatushangai kuongea hivyo yawezekana KANUNUA.katika hali inayoonesha kufilisika kisiasa na kutumika na chama cha mapinduzi, bwana mdogo James Mbatia amesikika akikosoa kwa mtindo wa mafumbo waheshimiwa wabunge wanaoichagiza serikali huku akitumia maneno kama "wanapandikiza chuki". Bila kutaja ni chuki gani wala kutaja ni wabunge gani hao, Mbatia, aliyepewa air time ya kutosha na TBC kwa ajili ya kumwaga upupu huo hakuwa na la maana la kuzungumza zaidi ya kuishia kulalamika na kukashifu.
my take:
Tumekusikia bwana mbatia; hao unaowaona hawafai sisi ndiyo tunawataka na tutaendelea kuwachagua daima kwa sababu hawana mabo ya kishosti-shosti.
katika hali inayoonesha kufilisika kisiasa na kutumika na chama cha mapinduzi, bwana mdogo James Mbatia amesikika akikosoa kwa mtindo wa mafumbo waheshimiwa wabunge wanaoichagiza serikali huku akitumia maneno kama "wanapandikiza chuki". Bila kutaja ni chuki gani wala kutaja ni wabunge gani hao, Mbatia, aliyepewa air time ya kutosha na TBC kwa ajili ya kumwaga upupu huo hakuwa na la maana la kuzungumza zaidi ya kuishia kulalamika na kukashifu.
my take:
Tumekusikia bwana mbatia; hao unaowaona hawafai sisi ndiyo tunawataka na tutaendelea kuwachagua daima kwa sababu hawana mabo ya kishosti-shosti.
Alikuwa anawasema Wabunge wa Chadema? Mbona kuna wa chama chake ambao wako beneti na Chadema Bungeni katika kuibana CCM kuhusu udhalimu na ukandamizaji wake? huyu mtu vipi?
Kweli, hasira za kushuka umaarufu unaleta vituko.
Siasa za Mhe Mbatia tunazozifahamu hazina tofauti na za wajomba zake CDM. Ni mwanasiasa uchwara km wenzake wa CDM. Kuna kipindi alisikika akisema 'damu itamwagika'.
Ni mabadiliko makubwa kama atakuwa ameng'amua kwamba CDM wanapandikiza mbegu za chuki miongoni mwa Wa tz.